jitaland
Member
- Jul 12, 2015
- 62
- 18
Wakuu mi nlianza Nyeto 2005 hadi Leo napiga ila nataka kuacha ,hapa nna kama siku 3 sijapiga nafikiri huu ni mwanzo nzuri wa kuacha
hujapata ""video nzuri""[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mi nlianza Nyeto 2005 hadi Leo napiga ila nataka kuacha ,hapa nna kama siku 3 sijapiga nafikiri huu ni mwanzo nzuri wa kuacha
ningependa kujua madhara ya pull nje ya nguvu za kiume. maana niliwahi kupiga hadi nikazimia au kukata moto. pia lipsi kuwa kavu na kichwa kuuma
Dawa pekee ni kufanya kazi nzito za kuuchosha mwili
Waoge bila sabuni,,maana mpiga nyeto alijipakaa kasabuni tu ,tayar anawaza kushtua
'A bad peace is better than a good quarrel '
Acha kabisaa ndomaana anaweza sema nmeachaaa.Hahahahaha balaa kweli aseee akili huwa iko addicted na vilainishi mkuu
Mwili ukiwa umechoka hata hamu zingine zinakuwa hazipo.Hii pia inasaidia ofcoz kwani mwili ukichoka pia huwez ruhusu hali hii kuwepo ya kupiga nyeto
Acha kabisaa ndomaana anaweza sema nmeachaaa.
Kimbembe akienda kuoga. Ile kichwa kikipitiwa na utelez wa sabuni ohoooo anaamua kupuliza kamoja ka fasta
Alafu wapiga nyeto, wanatokewaga na vijipu usoni .
'A bad peace is better than a good quarrel '
Mwili ukiwa umechoka hata hamu zingine zinakuwa hazipo.
Ulishawahi kuona mtu mwenye madeni mengi,akapata muda wa kuangalia hizo movie?Japo pia hata ulichoka km akili yako iko kwenye puchi bado utapiga tuu mkuu kiuchovu chov.... unakuta mwil umechoka ila unachek porn unadhan utachomoka hapo kwel mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah nimejikuta nacheka sana mkuu maana ilikua zangu kipind icho nasema nimeacha naweka nadhiri kabisa ila nikanza kupaka futa bas network inaama najikuta nashtua ka fasta[emoji16][emoji16]hiyo feeling yake hatar ila niliamua kuacha kabisa kiukwel baada ya kugundua hata vitabu vitakatif vimelaan hik kitendo
Ulishawahi kuona mtu mwenye madeni mengi,akapata muda wa kuangalia hizo movie?