Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

rikiboy naomba nikueleweshe kwa upole.. Pengine hili linaweza kuwa kubwa kwako ndio maana umeandika haya uliyoandika
Punyeto lina mahusiano makubwa sana na mapepo ndio maana kuna watu wana wapenzi permanent na wengine wana wake wa ndoa kabisa na nyumba ndogo juu lakini kuna wakati hujisikia kabisa kujichua kabla ya mechi ama hawaridhiki hata baada ya mechi mpaka wakajikamue kimoja
Na angalia wengi wanaojichua ni under 30 years.. Jiulize kwa nini! Ni kwamba kipindi hiki manii hazijawa nyepesi na bado zina ubora na ni nyingi
Mwisho kabisa kila tatizo huwa na njia nyingi za kutatua hivyo si vema kumpangia mtu ni vema apime mwenyewe achague

Jr[emoji769]
Aisee...dunia ina mambo.sasa nahisi mapepo mengine yanakùla kama nguruwe.kila dakika mtu unapiga bao.unajikuta umepiga mpaka 8 kwa siku.duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi tuliopiga master B kwa miaka zaidi ya 15 tunakomenti wapi?
Jisikie huru, ukiwa free utakuwa free ktk kila sector.
Matangazo ya wauza dawa za kuongeza nguvu za kiume yamekuathiri.
Punyeto haina madhara na wala si pepo
Bwana weee...!watu tumeanza mwaka 1997 huko.tumeoa lakini haijasaidia kitu.@mshana jr ana point nimeinasa.mimi nitajaribu kuoga hayo machumvi nione itakuwaje...this is too much..[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakubwa poleni majukumu ya kila siku
sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua
Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena
ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda mrefu,kushindwa kusimama kwa muda mrefu hyo physical lakn hata kiakil imenifanya nasahau mambo kwa haraka,nimepoteza kujiamin muda wote najiona mkosaj
kwa waliocha naomba msaada wa mawazo,ushauri,nk
lakin pia kwa wanaoendelea usijidanganye kuwa hakuna madhara
mimi ni kijana wa miaka 19
nawasilisha
Kuna wenzio wana miaka 29 wanaomba kuacha.

Kwa hyo wewe una miaka 9 mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jitathmin...

kwa siku unapiga nyento ngapi?

kama unapiga mara5 jitahidi uongeze idadi hata ikiwezekana piga mara8 mpaka mara10

kila siku piga hadi mwisho,kama vile unalipwa

automatically pale utakapoishia hutatamani kupiga tena
 
Wakubwa poleni majukumu ya kila siku
sababu ya kuleta huu uzi ni kuomba msaada namna ya kuacha kujichua
Ni miaka 3 imepita toka niingie katka huu mchezo nimejtahd kuacha but simalizi hata mwezi anarudi tena
ki ukweli imensababishia maisha yangu kuwa namaumivu ya mgongo,uchovu muda mrefu,kushindwa kusimama kwa muda mrefu hyo physical lakn hata kiakil imenifanya nasahau mambo kwa haraka,nimepoteza kujiamin muda wote najiona mkosaj
kwa waliocha naomba msaada wa mawazo,ushauri,nk
lakin pia kwa wanaoendelea usijidanganye kuwa hakuna madhara
mimi ni kijana wa miaka 19
nawasilisha
Endelea kupiga nyeto TUMIA NZI MKUU KAMATA NZI WEKA KWENYE RAMBO.INGIZA MASHINE WATATEKENYA MPAKA UPIGE GOLI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom