Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.
Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.
Msaada wandugu