Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Nani kakuambia ukipiga nyeto sana inakufanya ukipiga mzigo mashine isisimame vizuri???

The problem hapo ni psychology yako tu lkn watu tumeanza kupiga nyeto toka mwaka 2001 mpaka sasa na show tunapiga ile ya kibabe...
 
Kuacha hii kitu ni gharama kubwa sana... inabidi utenge fungu nono
Kwa siku za mwanzo inabidi uhakikishe hazipiti siku mbili bila kula mbususu, iwe ya kununua au ya dem wako ila hakikisha huvushi siku 2 bila sex

Baada ya kama wiki 2 za kula mbususu mfululizo sasa unaweza kuongeza gap, angalau ule mbusus mara moja kwa wiki...Itafika kipindi mentally kichwan utaona mbususu ni nzuri kuliko nyeto

Nina miezi mi 5 mpk sasa sijapiga nyeto na kila siku nashinda telegram lakin nimeweza kujicontrol, ni bora upoteze hela kwa kununua malaya kuliko kupoteza hela kutibu tatizo la kutosimamisha au nguvu za kiume

Ni hayo tu [emoji847]
Kweli Nakubaliana Na Wewe, Punyeto Inafanya Mb*o Kuwa Ndogo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mwanamke type ya mamaJ yule mchepuko wangu. Huo upuuzi utausahau kabisa
 
Kuacha hii kitu ni gharama kubwa sana... inabidi utenge fungu nono
Kwa siku za mwanzo inabidi uhakikishe hazipiti siku mbili bila kula mbususu, iwe ya kununua au ya dem wako ila hakikisha huvushi siku 2 bila sex

Baada ya kama wiki 2 za kula mbususu mfululizo sasa unaweza kuongeza gap, angalau ule mbusus mara moja kwa wiki...Itafika kipindi mentally kichwan utaona mbususu ni nzuri kuliko nyeto

Nina miezi mi 5 mpk sasa sijapiga nyeto na kila siku nashinda telegram lakin nimeweza kujicontrol, ni bora upoteze hela kwa kununua malaya kuliko kupoteza hela kutibu tatizo la kutosimamisha au nguvu za kiume

Ni hayo tu [emoji847]
Nakazia[emoji4][emoji106]
 
nyie wenzangu hiyo punyeto imewafanyaje...na huwa mnaipigaje...mbona mimi naipiga show pia napiga ya kibabe na ndio siiachi ng'oo na huwa naitumia kama mbinu ya kivita...mwanamke akinikataa naipiga...mwanamke akinililia shida naipiga...nikisha piga tu naghairi kumsaidia huwa sipendi mambo ya kipuuuuzi kabisaaaa
 
Time will tell mkuu, hii kitu sio nzuri...Nilikua mfuasi wa punyeto ila baada ya kuacha naenjoy sex zaidi tofauti na hapo nyuma

Nikiwa na hamu bora nitafute chimbo la kumwagia ndani kuliko nipige nyeto afu badae nianze kukimbizana na waganga kutafuta dawa ya nguvu za kiume

All in all, mim sio mfuasi wa "mama anaupiga mwingi" [emoji847]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hakikisha hauangalii video za ngono hata kwa bahati mbaya punguza kula vitu kama karanga mbichi na vitu vyenye vichocheo kama hivyo
Hakikisha haukai zaidi ya wiki mbili bila kumkanda mtu
Mimi ni mmoja kati ya watu niliyefaulu kuachana na huo ujinga
Katika kipindi cha miaka kumi kama nimefanya huo mchezo haifiki hata mara kumi
 
Hizi porn videos zinachochea Sana upigaji wa nyeto
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.

Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.

Msaada wandugu
Pole sana ndugu cha msingi jikeep bize hautapata nafasi ya kujijua tena be social kwa kijiji chako usikae peke yako pia futa application au magroup ya chating za ngono hasa telegram ina hamashisha sana kuwaangalia wa kina Mamu mtamu 😂😂😂 na wengineo .

Pia kama hauna mpenzi / rafiki yoyote wa kike jaribu kutafuta manzi mmoja tulianae nahisi utaacha kutumia mafuta kujichua so utasave baject ya mafuta
 
nyie wenzangu hiyo punyeto imewafanyaje...na huwa mnaipigaje...mbona mimi naipiga show pia napiga ya kibabe na ndio siiachi ng'oo na huwa naitumia kama mbinu ya kivita...mwanamke akinikataa naipiga...mwanamke akinililia shida naipiga...nikisha piga tu naghairi kumsaidia huwa sipendi mambo ya kipuuuuzi kabisaaaa
Haha kama ulikuwa umeahidi pesa unabadili gia angani[emoji16][emoji16]
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.

Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.

Msaada wandugu
Oa, narufia tens OA
 
Back
Top Bottom