MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

In shaa Allaah Kesho Nitapost Tutorial Ya JINSI YA KUPATA REAL VIEWS WENGI KWENYE YOUTUBE CHANNEL.(WORKING 100%)

Kwa Mahitaji Ya Mambo Mbalimbali Yanayohusiana Na Teknolojia, Hususani PHONE & COMPUTER TRICKS Unaweza Ukatembelea Channel Yangu Ya MKALI TV
 
Bongo 360
CHANNEL YANGU HII SIKOSI KULA DOLA 300 HADI 400 KWA MWEZI
Nina fb page ina likes 80k now....ni ya news. Na mimi nipo kwenye track nzuri ya kufungua youtube channel a ikalipa? Nataman kumake money online!! Any idea?
 
Mmh kuna baadhi ya Videos hapo nimeziona Youtube siku hizi wameleta utaratibu wao mpya wa kufunga video zisizoweza kukaribisha matangazo zisikulipe, so Una mawazo Mazuri, ila ongeza ubunifu zaidi dada mimi ni kaka ako huko Youtube.
 
mnapata shingapi
nasikia viewer 1000 ya watu walioangalia matangazo ndo unalipwa dollar 1
ilinikatisha tamaa niliposikia hivi
1000 views kibongo bongo sawa na 1.80 Usd au 2 Usd, Inadepend na Cpc ulizopata na kutoka nchi zilipotoka cpc hizo.
 
mara nyingi sikuhizi naona wasanii wanalia nimeibiwa views hii wadau imekaaje wanaingiza pesa kivipi au kwa muda gani?
 
youtube ni mtandao ambao unakuwezesha kuweka video yako mtandaoni ili watu waweze kujua kipaji chako kua na channeli yako mwenyewe youtube sio jambo la msingi sana

kwani cha msingi unatakiwa kuifanya channeli yako ikuingizie pesa.kupata p[esa youtube ni jambo rahisi sana unachotakiwa tu ni kukubalika kwa watu kama uanataka kuanzisha

channeli yako youtube kwa lengo la kupata pes basi hapa ndio penyewe keanza kabisa unahitaji uwe na wazo je wazo gani?


ni aina gani ya video utakazo kua unaposti hilo ndilo wazo la msingi kwanza.ktk mawazo ni wewe mwenyewe na ubongo wako kisha baada ya hapo unachoa takiwa unatakiwa uwenagoogle account.

tembelea www.gooogle.com/signin ilikujisajili ukishapata gmail accont yako basi nenda youtube mojakwa moja kupitia www.youtube.com/signup ukisha jiunga na account ya youtube kinacho fuata ni kwenda

hapa www.youtube.com/upload na utaweza kupost video zako na kama ukifanya vizuri basi unaweza ukapata pesa kupitia matangazo kama google adsense.

Kama hujaelewa comment namba yako nikucheki.
 
Na pesa zinaingia kwenye akaunti gani baada ya video kutazamwa?
 
Back
Top Bottom