MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

Watanzania wanahitaji nguvu kubwa Sana kuwashawishi, walio wengi huwa wanapinga hata wasichokijua watajifanya wajuaji,,,,,, YouTube inalipa Sana ukiwa na nia Kwa mwezi hukosi hata $150 -200
 
Bongo 360
CHANNEL YANGU HII SIKOSI KULA DOLA 300 HADI 400 KWA MWEZI

Mkuu uwape watu taarifa zaidi wanajua ukifungua yt channel ndio unapata pesa za haraka hawajui hata hiyo AdSense ndio nini.Mi kwa Tz naona wanaopiga pesa za YT ni wakusanya udaku na wanaoweka Vichekesho ili wapate kipato.
Naona ndugu zangu wanaona watu kama Milard Ayo wanapiga pesa vizuri ila wengiwao wanapenda ila hawajui,watapataje japo ni changamoto.
 
Watanzania wanahitaji nguvu kubwa Sana kuwashawishi, walio wengi huwa wanapinga hata wasichokijua watajifanya wajuaji,,,,,, YouTube inalipa Sana ukiwa na nia Kwa mwezi hukosi hata $150 -200
Watu kama hao ni wa kuwaacha tu...mtu analetewa fursa anaanza kuleta ubishi, unaachana naye huyo anakuja kushtuka watu tupo mbali sana!

Mimi mpaka sasa nina platform ya music, nipo natengeneza site ya news na nafikiria youtube channel pia!
 
Watanzania wanahitaji nguvu kubwa Sana kuwashawishi, walio wengi huwa wanapinga hata wasichokijua watajifanya wajuaji,,,,,, YouTube inalipa Sana ukiwa na nia Kwa mwezi hukosi hata $150 -200
Mambo Irenee
 
Kwa hiyo na wewe unatrngeneza pesa kupitia kujifunza kwetu,au sio? Janja sana wewe
 
JF kuna watu wanaleta video zao siku hizi chini wanaandika..

"please dont forget to subscribe" hawa watu wanaongezeka hapa JF kwa kasi sana...vipi mkuu ni mkakati wao wa kutaka kuongeza viewers ili wapige pesa?
Ukisabscribe,maanake ni kuwa amekuloga,,,we ni msukule wake
 
Ukisabscribe,maanake ni kuwa amekuloga,,,we ni msukule wake
Kusubscribe sio kuwa mzukule hapana
AdSense wana idadi yao wanayo hitaji ili video ziwe monetize
Moja n idadi ya views na subscribers

We subscribe kumuwezesha MTU aweze kuwa ana monetize video zake
 
Itategemeana so kila wenye account za youtube wanalipwa wengine wanahitaji tu kujitangaza etc na ukitaka ianze kukilipa lazima uiwezeshe kwa kuunganisha na AdSense
Adsense au youtube monetization
 
Jaman kuna watu wamezoea kubisha Ngoja nikuwekee dashbd
Screenshot_2017-11-04-22-55-14.png
naisubiri hiyo dashbod ya adsense earning ($300-$400per month ) hapa jf maana itakuwa testimony na inspiration kwa begginers kama subcribers na views unao si haba
 
Yaan Bado Huamini tuu!??? Nina video my girl Sana ambapo Kwa siku sikosi dola 15
Nimecheck channel yako sioni kama inaweza kuingiza pesa ambayo umeitaja hapo
 
Back
Top Bottom