Habari zenu Jf
Natumaini wote mu wazima..
Niende moja kwa moja kwenye mada!!
Kwanza mniwie radhi kwa kuwa maelezo mengi yatatolewa kwa njia ya video hapa chini hii nikwa sababu ya ugumu wa kulieleza swala hili kwa maandishi tuu!!
Maada ni namna ya kutengeneza pesa kupitia mtandao wa YouTube
Nimekuwa nikifuatilia sana video nyingi za YouTube na kuja kujua kwamba watu wanapiga pesa nyingi sana kupitia video zao wanazo tengeneza na kuzi post kwenye channel zao za YouTube
Nahasa wenzetu wa nchi zingine kama ulaya na kwingine watu wanatumia YouTube kama ajira zao na wanapata pesa kwa njia rahisi!!
Lakini wenda bado watu wengi kwa nchi kama zetu hawajafahamu pia kua hii ni fursa kubwa ya kutengeneza pesa wewe kazi yako ni kutengeneza tu video!!
Hebu na wewe amua Leo utengeneze channel yako na utengeneze video zako uanze kupata pesa!!!
Unaweza jiuliza utatengeneza video za aina gani??
Unaweza tengeneza video aina yoyote ile
Mfano video za kufundisha au kuelekeza kitu Fulani(tutorial) ,vichekesho, movie etc
Kazi yako nikui promote channel yako ili kuwa na wadau!!!
Hatua ya kwanza ni kutengeneza YouTube Channel yako na hatua ya pilini kuwezesha account yako kupitia kwa kuunganisha YouTube channel yako na adsence account kwani hawa ndio wanao lipa
Video hapa chini inaeleza hatua ya kwanza hadi ya mwisho!!!
Wale wazoefu karibuni pia kwa mawazo
Tazama hapa!!