KABONYELLA KELVIN
Member
- Feb 3, 2014
- 31
- 42
Wakati unaendesha ukikanyaga inaenda mpaka labda kwenye tatu then inashuka na gari kukosa nguvu, lakini ikiwa silence haivuki kwenye mbili inakuwa katikati ya moja na mbiliJe inajipandiaha na kujishusha tu wakati unaendesha? Au hata ukiiwasha tu ukaiacha idle?
Okay kwa haya maelezo yako kuna uwezekano mkubwa Throttle position sensor ikawa ina shida, kwa sababu hii ndio sensor inayopeleka taarifa kwenye ECU kuwa throttle imeopen kwa nafasi kubwa kiasi gani wakati unaendesha gari.Wakati unaendesha ukikanyaga inaenda mpaka labda kwenye tatu then inashuka na gari kukosa nguvu, lakini ikiwa silence haivuki kwenye mbili inakuwa katikati ya moja na mbili
Wewe jamaa ungekuwa DAR tungekuja wengi Sana Kwenye garage yako. Ila yote Kwa yote asante Kwa ushauriOkay kwa haya maelezo yako kuna uwezekano mkubwa Throttle position sensor ikawa ina shida, kwa sababu hii ndio sensor inayopeleka taarifa kwenye ECU kuwa throttle imeopen kwa nafasi kubwa kiasi gani wakati unaendesha gari.
Kwa hiyo unapokuwa unakanyaga ukifika hapo kwenye 3 badala ya kuendelea kupeleka taarifa kwamba throttle inazidi kuopen yenyewe itakuwa inapeleka taarifa kwamba throttle imeopen kidogo na hivyo kupelekea hewa nyingi kuendelea kuingia kwenye engine wakati ECU inallow mafuta kidogo yaende, na hapo ndio linayokea hilo tatizo la kukosa nguvu...
Wewe jamaa ungekuwa DAR tungekuja wengi Sana Kwenye garage yako.....
Ila yote Kwa yote asante Kwa ushauri
Mkuu nashukuru sana mimi nipo mafinga Iringa kuna jamaa alifanya diagnosis akaniambia kuwa ni hiyo throttle position sensor! Wakati anafanya sikuwepo ndo maana nikaona nifanye verification huku kwenu wataalamu.Okay kwa haya maelezo yako kuna uwezekano mkubwa Throttle position sensor ikawa ina shida, kwa sababu hii ndio sensor inayopeleka taarifa kwenye ECU kuwa throttle imeopen kwa nafasi kubwa kiasi gani wakati unaendesha gari.
Kwa hiyo unapokuwa unakanyaga ukifika hapo kwenye 3 badala ya kuendelea kupeleka taarifa kwamba throttle inazidi kuopen yenyewe itakuwa inapeleka taarifa kwamba throttle imeopen kidogo na hivyo kupelekea hewa nyingi kuendelea kuingia kwenye engine wakati ECU inallow mafuta kidogo yaende, na hapo ndio linayokea hilo tatizo la kukosa nguvu...
Mkuu nashukuru sana mimi nipo mafinga Iringa kuna jamaa alifanya diagnosis akaniambia kuwa ni hiyo throttle position sensor! Wakati anafanya sikuwepo ndo maana nikaona nifanye verification huku kwenu wataalamu.
Asante mkuu
Fanya utembee Dar mkuu hayo mambo ya gar kukosa nguvu ni mengi sana, ndo maana watu wengi sana wanatamani uje dar, maana kwa ule uzi wako ulitia moyo watu wengi sana. Pia ulionesha uwezo mkubwa sana aiseee...ila watu walichoka pale tuu uliposema unapatiaka Moro. Fanya ukaribie huku hata kwa wiki moja tu mkuu.Basi mkuu wewe funga tu throtle position sensor mpya then enjoy your car.
Fanya utembee Dar mkuu hayo mambo ya gar kukosa nguvu ni mengi sana, ndo maana watu wengi sana wanatamani uje dar, maana kwa ule uzi wako ulitia moyo watu wengi sana...pia ulionesha uwezo mkubwa sana aiseee...ila watu walichoka pale tuu uliposema unapatiaka Moro. Fanya ukaribie huku hata kwa wiki moja tu mkuu....
Hizi gar za kisasa hayo ndo magonjwa yake makuu ya kukosa nguvu.
Okay kwa haya maelezo yako kuna uwezekano mkubwa Throttle position sensor ikawa ina shida, kwa sababu hii ndio sensor inayopeleka taarifa kwenye ECU kuwa throttle imeopen kwa nafasi kubwa kiasi gani wakati unaendesha gari.
Kwa hiyo unapokuwa unakanyaga ukifika hapo kwenye 3 badala ya kuendelea kupeleka taarifa kwamba throttle inazidi kuopen yenyewe itakuwa inapeleka taarifa kwamba throttle imeopen kidogo na hivyo kupelekea hewa nyingi kuendelea kuingia kwenye engine wakati ECU inallow mafuta kidogo yaende, na hapo ndio linayokea hilo tatizo la kukosa nguvu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu si magari tuu hata vijana wa sasa nguvu ni tatizo sana
Moro unapatikana sehemu gani?Okay kwa haya maelezo yako kuna uwezekano mkubwa Throttle position sensor ikawa ina shida, kwa sababu hii ndio sensor inayopeleka taarifa kwenye ECU kuwa throttle imeopen kwa nafasi kubwa kiasi gani wakati unaendesha gari...
Moro unapatikana sehemu gani?
Fanya utembee Dar mkuu hayo mambo ya gar kukosa nguvu ni mengi sana, ndo maana watu wengi sana wanatamani uje dar, maana kwa ule uzi wako ulitia moyo watu wengi sana...pia ulionesha uwezo mkubwa sana aiseee...ila watu walichoka pale tuu uliposema unapatiaka Moro. Fanya ukaribie huku hata kwa wiki moja tu mkuu....
Hizi gar za kisasa hayo ndo magonjwa yake makuu ya kukosa nguvu.
Gari za sasa zinstumia umeme zaidi kuliko mafuta, na kifaa kinachofua umeme plug pia zimo.
Tuko pamoja mkuuBasi mkuu wewe funga tu throtle position sensor mpya then enjoy your car.
Naombeni kujua shida nini, gari kama hiyo inapoteza nguvu. ukiwa kwenye mwendo ghafla unakutana na hali ya gari kukosa nguvu mfano wa kuzibwa pumzi au wewe unakanyaga mafuta na mwingine anakanyaga break.
naomba kujua inasababishwa na nini na utatuzi wake ni nini?
Gari ni Nissan HardBody
Engine ZD30 Turbo.
Unapatikana wapi mkuu nikuibukie. Huwezi pitwa na bajaji halafu ukasema nami gari yangu inakimbia!!Matatizo ya kukosa nguvu kwa sehemu kubwa yanaweza kusababishwa na:-
1. Mechanical probles kama compression ndogo, air filter kuziba, fuel filter kuziba, Au kuziba kwa exhaust manfold..