Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Amekuambia gari ikinyeshewa ndo inazingua. Wewe unaleta habari za plugs
Gari gani ikinyeshewa inazingua!!??
tatizo lolote la power ya gari unaanza kucheki kwenye plag kama zinachoma vizuri....
usikute maji yanaingia huko plagini....
bwamdogo vp achana na baskeli nunua gari...
utaelewa haya matatizo
 
Gari gani ikinyeshewa inazingua!!??
tatizo lolote la power ya gari unaanza kucheki kwenye plag kama zinachoma vizuri....
usikute maji yanaingia huko plagini....
Chief let's be serious maji kuingia kwenye plug? Gari sio baiskeli ndugu
 
Inawezekana hata wakati wa kuosha bro usiwe mgeni
Inawezekana ndiyo ila walipoitengeneza waliweka seals kila sehemu hivyo maji, vumbi, oil na chochote hakitakiwi kufika ktk plug. Yakipita tatizo ni hizo seal zimekufa.
 
Maelezo yako hayajitoshelezi kuelezea nguvu inapotea katika mazingira gani, ndiyo maana hata tunaosoma na kutaka kuchangia tunajichanganya kama gearbox au engine. Jaribu kuelezea vizuri zaidi.
 
Gari inaingiza maji kwny plug hyo ikinyeshewa inabd atagute na hyo leak ya maji inapotokea
Gari gani ikinyeshewa inazingua!!??
tatizo lolote la power ya gari unaanza kucheki kwenye plag kama zinachoma vizuri....
usikute maji yanaingia huko plagini....
bwamdogo vp achana na baskeli nunua gari...
utaelewa haya matatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Nenda kwa fundi wa Gearbox nilikua na Nissan Xtrail ikawa inachelewa kubadilisha gia. Nikampelekea mnyama wa gearbox dunian. Sasa nakaribia Mwanza mapumziko ya Kusikilizia
kakwambia inachelewa kubadili gear au injini inakosa nguvu?
 
Back
Top Bottom