Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Gari yangu ni honda fit tatzo lake kubwa Ikipita kwenye dimbwi au Kunyeshewa sana Ukija kuwasha inakosa nguvu yaan ina chelewa kuchanganyia

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman naomba muelewe kitu hapa tatzo sio plug maana hzo plug nimebadilisha sana kufikia kwenye nozeli tatzo bado lile lile kwa hyo maswala ya plug tuachane nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Je inapoanza kosa nguvu taa ya Overdrive inakuwa ina blink au hai blink?

2. Inawezekana sensor moja chini ya gari inapata maji.inabidi isafishwe na kama imekufa ibadilishwe. Nina fundi anaweza kukusaidia.ni wa umeme na gearbox pia.

Gari yangu ni honda fit tatzo lake kubwa Ikipita kwenye dimbwi au Kunyeshewa sana Ukija kuwasha inakosa nguvu yaan ina chelewa kuchanganyia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mnisaidie jambo mimi ni mgenj kidogo kwenye haya mambo nataka fanya service ya pili ya gari nibadilishe nini na nin naombeni mniambie kila kitu mara ya kwanza nilibadilisha oil engine oil filter na coolant nikapuliza air cleaner basi sikubadilisha gearbox oil je sasa hivi naweza badilisha na nini kingine nifanye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalaam nina Rav 4 old model. Gari yangu haina nguvu nguvu na inakula mafuta,inachemsha na inatoa Moshi mweupe. Nimebaini hats ikiwa sailensa bado matumizi ya mafuta yapo juu. Naombeni msaada wenu.Nianzie wapi ninapoenda kwa fundi.
 
White smoke (moshi mweupe) huonesha kwamba coolant inaleak na kuingia kwenye engine (combustion chambers) hivyo wakati wa mafuta kuungua siyo mafuta pekee yatakayoungua bali na maji yaliyopo kwenye coolant nayo yataungua. Sasa maji yakiungua ndio ule moshi mweupe unaouona.

Mara nyingi tatizo hili hutokea ikiwa cylinder head gasket imeharibika. Lakini pia linaweza kutokea ikiwa engine block au cylinder head zina ufa. Lolote kati ya hayo matatizo matatu hupelekea engine kuwa na compression ratio ndogo na hivyo gari kukosa nguvu.

Mwisho jaribu pia kuangalia kama pia kwenye overflow tank(ipo karibu na rejeta) kuna oil na Pia jaribu kuangalia kama ukitoa dipstick ya oil kuna dalili za kuwepo kwa maji.
 
Wakuu naomba msaada wenu natumia gari aina ya Toyota Raum.

Siku hizi mbili gari yangu imekua ikikosa nguvu haswa mlimani pamoja na kuchelewa kubadili gia pia imeandamwa na miss nyingi.

Injini 4E.

Naomba msaada wa ushauri nn cha kufanya.
 
Back
Top Bottom