Gari yangu ni honda fit tatzo lake kubwa Ikipita kwenye dimbwi au Kunyeshewa sana Ukija kuwasha inakosa nguvu yaan ina chelewa kuchanganyia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeelewana kweli?Nenda kwa fundi wa Gearbox nilikua na Nissan Xtrail ikawa inachelewa kubadilisha gia. Nikampelekea mnyama wa gearbox dunian. Sasa nakaribia Mwanza mapumziko ya Kusikilizia
Kama hajaelewa itakua matatizo yake binadsi. Halafu gari ikinyeshewa ndio inasumbua? Au anamaanisha Bajaj?Mmeelewana kweli?
Mtafute fundi wa GearboxCheki plagi tafuta fundi azicheki zitakuwa hazichomi vizuri
Mmeelewana kweli?
Ishu ni plug ikiwa inavuja moto hauend wote hivyo inachelewa inakua kama inamis nami yangu ilikua hivyo
Gari gani ikinyeshewa inazingua!!??Amekuambia gari ikinyeshewa ndo inazingua. Wewe unaleta habari za plugs
Chief let's be serious maji kuingia kwenye plug? Gari sio baiskeli nduguGari gani ikinyeshewa inazingua!!??
tatizo lolote la power ya gari unaanza kucheki kwenye plag kama zinachoma vizuri....
usikute maji yanaingia huko plagini....
Inawezekana hata wakati wa kuosha bro usiwe mgeniChief let's be serious maji kuingia kwenye plug? Gari sio baiskeli ndugu
Zote nzuri! Chini ya M15
Sawa. Acheki pia na umeme na gearbox coz yangu iikua ukipanda mlima ama uweke 2 au L (automatic) ndo itembeeInawezekana hata wakati wa kuosha bro usiwe mgeni
Inawezekana ndiyo ila walipoitengeneza waliweka seals kila sehemu hivyo maji, vumbi, oil na chochote hakitakiwi kufika ktk plug. Yakipita tatizo ni hizo seal zimekufa.Inawezekana hata wakati wa kuosha bro usiwe mgeni
Gari gani ikinyeshewa inazingua!!??
tatizo lolote la power ya gari unaanza kucheki kwenye plag kama zinachoma vizuri....
usikute maji yanaingia huko plagini....
bwamdogo vp achana na baskeli nunua gari...
utaelewa haya matatizo
Gari gani ikinyeshewa inazingua!!??
tatizo lolote la power ya gari unaanza kucheki kwenye plag kama zinachoma vizuri....
usikute maji yanaingia huko plagini....
bwamdogo vp achana na baskeli nunua gari...
utaelewa haya matatizo
Ring zimeshachoka hizoGari yangu ni honda fit tatzo lake kubwa Ikipita kwenye dimbwi au Kunyeshewa sana Ukija kuwasha inakosa nguvu yaan ina chelewa kuchanganyia
Sent using Jamii Forums mobile app
kakwambia inachelewa kubadili gear au injini inakosa nguvu?Nenda kwa fundi wa Gearbox nilikua na Nissan Xtrail ikawa inachelewa kubadilisha gia. Nikampelekea mnyama wa gearbox dunian. Sasa nakaribia Mwanza mapumziko ya Kusikilizia
Sasa plug zikilowa si hazichomi vizuri au, watu kama nyie mnasababishaga natukana humu..Amekuambia gari ikinyeshewa ndo inazingua. Wewe unaleta habari za plugs