Brevis
Ukizoea kuosha injini maji yanaingia kwenye plug, nilishuhudia hili siku nilipobadili plug za gari yangu..Chief let's be serious maji kuingia kwenye plug? Gari sio baiskeli ndugu
Naona kuna comments chonganishi nami niulize kwanza "anamaanisha gari... motokaa .. au gari nyama?Jamaa amenote gari kuto kuchanganya, ila kuhusu kulowana na kutokuchoma vizuri haelewi
Zala Na Nga
Maswala ya plag nimebadilisha hadi nimechoka aise lakin tatzo lipo pale pale
Plug nabadilisha sana ila tatzo bado lipoSasa plug zikilowa si hazichomi vizuri au, watu kama nyie mnasababishaga natukana humu..
Jaman naomba muelewe kitu hapa tatzo sio plug maana hzo plug nimebadilisha sana kufikia kwenye nozeli tatzo bado lile lile kwa hyo maswala ya plug tuachane nayo.Gari yangu ni honda fit tatzo lake kubwa Ikipita kwenye dimbwi au Kunyeshewa sana Ukija kuwasha inakosa nguvu yaan ina chelewa kuchanganyia
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari yangu ni honda fit tatzo lake kubwa Ikipita kwenye dimbwi au Kunyeshewa sana Ukija kuwasha inakosa nguvu yaan ina chelewa kuchanganyia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we hujui gari bora unyamaze tuChief let's be serious maji kuingia kwenye plug? Gari sio baiskeli ndugu
Gari za sasa zinstumia umeme zaidi kuliko mafuta, na kifaa kinachofua umeme plug pia zimo. Na uneme na maji havipataniChief let's be serious maji kuingia kwenye plug? Gari sio baiskeli ndugu
Jaman naomba muelewe kitu hapa tatzo sio plug maana hzo plug nimebadilisha sana kufikia kwenye nozeli tatzo bado lile lile kwa hyo maswala ya plug tuachane nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watalaam nina Rav 4 old model. Gari yangu haina nguvu nguvu na inakula mafuta,inachemsha na inatoa Moshi mweupe. Nimebaini hats ikiwa sailensa bado matumizi ya mafuta yapo juu. Naombeni msaada wenu.Nianzie wapi ninapoenda kwa fundi.