High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
spea ghalama sana na injini ikianza kusumbua lazima lilale
Hapa mwanza yawekuwa mengi mno najiuliza au spea zimeshuka bei au ndio kutojua tu hatari sana kama hela za kuunga
Hizi ndizo bei za ArushaSasa kweli ulitaka bei ya spear za subaru zinanane na its au noah?
5km kwa lita hiyo kimeo badilisha plug na oxygen sensor,epuka mafundi wa vijiweni,Spear acha kutuma nenda mwenyewe ili wasikudalalie
Arusha shock up laki 2-3,taa laki 2-3,ukishindwa agiza Nairobi
Hizi ndizo bei za Arusha
Nime fatilia mada kuhusu u bovu wa nissan xtrail, ukweli ni kwangu nissan xtrail syo mbovu.
Nissan extrail ni service kufanya inayotakiwa ya extrail..na nissan ni vitu vitatu kuzingatia engen oil, hydronic gear box oil zote hizo uweke za nissan, na kuna mafuta ambayo yanapaswa kuweka kutokana na aina ya engen ya gari yako mfano labda mafuta ya kawa aina triple j au l etc.
Inategemea wewe uko katika kundi gani la mafuta yanayotakiwa kuweka.
Oil ya nissan extrail ya hydronic ni 250,000/ mpaka 200,000/
Engen oil nayo sh 70000/
Hiyo garama tu sasa sisi watz wengi tushazoea virahisi rahisi alafu badaye tunaanza lalamika...tunataka miliki vitu alafu kuviendesha hatuwezi.
Kweli mkuu ushahidi huo nna kuna watu nawajua wanatumia xtrail kwa muda wa miaka mingi tu na gari zao ziko vizuri, hao wanao lalamika hawafati taratibu ya service inayotakiwa zaidi ya kufanya service longolongo tu...Your very right mkuu,tatizo jengine mtu anaweza kusimulia kitu utasema anakijua vizuri kumbe kasikia story basi nae ataitolea ushuhuda balaa utasema anaexperiance na anachokiongea
Mimi mwenyewe ninayo xtrail nina mwaka wa pili sasa i havent seen any problem,mtua afanye maamuzi kulingana na anchojisikia ndiocho nilichojifunza,maana na mm nilipata maneno meengo kabla ya kununua hiyo gari but nilishaamua na nikanunua na sasa sina tatizo kabisaKweli mkuu ushahidi huo nna kuna watu nawajua wanatumia xtrail kwa muda wa miaka mingi tu na gari zao ziko vizuri, hao wanao lalamika hawafati taratibu ya service inayotakiwa zaidi ya kufanya service longolongo tu...
Kiujumla gari za kisasa ambazo sio toyota ni ishu sana. Gari moja ya aina ya Escudo 2006, taa moja ya nyuma ni 900,000 kwa seti! Kama nadanganya aje mtu abishe hapa.
Tuwe makini tu ikiwa huna haja ya fasheni km ww ni 'bora usafiri' tununue ist, starlet,rav4 (<2003) ni magari mengi mno mjini ingawa hayana hadhi kwa sababu ya kuwa km uniform
Mimi mwenyewe ninayo xtrail nina mwaka wa pili sasa i havent seen any problem,mtua afanye maamuzi kulingana na anchojisikia ndiocho nilichojifunza,maana na mm nilipata maneno meengo kabla ya kununua hiyo gari but nilishaamua na nikanunua na sasa sina tatizo kabisa
Uko sawa kabisa hicho ndio kinatucost mzee tunataka urahisi bila kujua impact yakeGari hiyo haina shida ukifatilia service yake itadumu na kudumu.
Sema wengine ni longolongo ukimshauri kufunga plug tu ambayo ni nzuri kwa moja lbda 30000 utaskia ah hiyo hela sina..niweke ya 5000
Hizi ndizo bei za Arusha
spea ghalama sana na injini ikianza kusumbua lazima lilale
Hizi ndizo bei za Arusha
Ni gari gani ambalo linapiga kazi na radiator lina overheat???Kingine cha kuzingatia Ktk nissan extrail
Ni lazima Rejeta iwe na maji nissan extrail engen haitakiwi kabisa ku over heat.
Asubuhi kabla hajaingia ndani ya gari check maji
Kingine cha kuzingatia Ktk nissan extrail
Ni lazima Rejeta iwe na maji nissan extrail engen haitakiwi kabisa ku over heat.
Asubuhi kabla hajaingia ndani ya gari check maji