franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Imetepeta kama......aiseeex-trail majanga mjomba, nilinunua november 2008 kufika januari 2009 inaanza kuzingua nikapeleka kwa fundi akanipiga kama laki 9 kutengeneza fundi akashauri nibadilishe engine nifunge engine ya RAV4 nimefunga sasa inapiga kazi ila bodi ndo imetepeta kama mbooh iliyotoka kupigwa Punyettoo
Vox pia ni kimeo hasa engine.Labda NoahAsante High Vampire kwa uzi mzuri.
Naomba nijue ubovu wa hz nissan x-trial.
Binafsi nazipenda coz naona ni gari yenye nafasi sana na je kwa ushauri wako kama nataka kuagiza nikiagiza Voxy au Noah ntakuwa nimecheza vema na opportunity cost (kwa ku forgone xtrial)
Asante.
usijaribu hiyo gari itakufilisi utauza hata kuku kabla hawajaanza kutaga ili utengeneze gari,shockup moja shs 600000 wakati ya rav4 ni 80000,ninayo imenishinda hata kuuza haiuziki mtu anakuja anasema labda nikupe3,000,000Wadau nimejichanga toka 2014 mpaka leo nimetimiza lengo la kama 8000 USD nataka kuagiza Nisaan X-trail toka japan. Mwenye ujuzi wa hiz gari msaada tafadhali. Vipi ulaji wa mafuta, spea, ugumu kwa barabara za bonyokwa hukoooo...