Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

x-trail majanga mjomba, nilinunua november 2008 kufika januari 2009 inaanza kuzingua nikapeleka kwa fundi akanipiga kama laki 9 kutengeneza fundi akashauri nibadilishe engine nifunge engine ya RAV4 nimefunga sasa inapiga kazi ila bodi ndo imetepeta kama mbooh iliyotoka kupigwa Punyettoo
 
Imetepeta kama......aiseee
 
simshauri mtu anunue X-TRAIL unless awe na hela ya kuapa mafundi kila mara. Bora ujipange ununue Rav 4 au kama hela ndogo nunua Noah (old Model)
 
Asante High Vampire kwa uzi mzuri.
Naomba nijue ubovu wa hz nissan x-trial.

Binafsi nazipenda coz naona ni gari yenye nafasi sana na je kwa ushauri wako kama nataka kuagiza nikiagiza Voxy au Noah ntakuwa nimecheza vema na opportunity cost (kwa ku forgone xtrial)

Asante.
Vox pia ni kimeo hasa engine.Labda Noah
 
jamani mie gari ya ndoto zangu ni Toyota voltz , sikunikizinasa ndo ntauliza ubora kwa wazoefu.
 
Wadau nimejichanga toka 2014 mpaka leo nimetimiza lengo la kama 8000 USD nataka kuagiza Nisaan X-trail toka japan. Mwenye ujuzi wa hiz gari msaada tafadhali. Vipi ulaji wa mafuta, spea, ugumu kwa barabara za bonyokwa hukoooo...
 
Hio 8000USD itatosha na kulipa ushuru kweli?. Umesha check ushururu wake kwenye ile calculator ya TRA?
 
8000$ inatosha na ushuru kabisa. Ulaji wa mafuta unategemea unaendeshea wapi. Kwenye traffic jam kubwa kama dar lazima ile mafuta. Uzuri wa Nissan ni kwamba hakuna spare fake hivyo bei zake ni ghali kwakuwa ni OG
 
Wadau nimejichanga toka 2014 mpaka leo nimetimiza lengo la kama 8000 USD nataka kuagiza Nisaan X-trail toka japan. Mwenye ujuzi wa hiz gari msaada tafadhali. Vipi ulaji wa mafuta, spea, ugumu kwa barabara za bonyokwa hukoooo...
usijaribu hiyo gari itakufilisi utauza hata kuku kabla hawajaanza kutaga ili utengeneze gari,shockup moja shs 600000 wakati ya rav4 ni 80000,ninayo imenishinda hata kuuza haiuziki mtu anakuja anasema labda nikupe3,000,000
 
Gari za Nissan nazionaga kinyume kweli. Hasa hizo Xtrail. Sijawahi ona mtu anaisifia.
 
mnao ponda nissan wote mm siungani na nyinyi tatizo lenu wabongo tumezoea vya kunyonga ndio maana.na wote hapo juu wanao ponda wameegemea kwenye vyakunyonga .sasa kwa wale walio zoea vya kuchinja kamata nissan huto juta kwanza ni gari ngumu sana.spare zake ni OG na.inadum zaidi kama utafuata taratibu za servive.
 
Sio gari zuri kwa kua diffential zinakufa kihovyo hovyo, Pia ni gari delicate sana ingawa unaweza kufanyia safari Ila SIO gari ya kuaminika kwa sasa.
 
Back
Top Bottom