MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

bidhaa yoyote ya mchina ikiingia sokoni ichangamkie hapohapo ukisubili Matoleo ya baadae ni uchakachuaji kwenda mbele nadhani inasababishwa na demand kushinda supply
 
Yani pikipiki mlizozitaja zote zinatengenezwa na wanafunzi wa primary wa china na india kwa ajili ya soko la africa so zote takatak
 
bidhaa yoyote ya mchina ikiingia sokoni ichangamkie hapohapo ukisubili Matokeo ya baadae ni uchakachuaji kwenda mbele nadhani inasababishwa na demand kushinda supply
Sasa tufanyaje na vipato vyetu
 
Kwahyo unamaansha sykmark hizo piki piki haziko sawa ?
(Hazina ubora)
Kwenye injini iko njema sana ila tank zao huwa zinatoboka inawezekana bati wanalotumia kutengeneza sio imara.
 
Mi nilijua zinazungumziwa pikipiki za maana kama vile Harley Davidson, Kawasaki, yamaha,Honda, ducat,BMW kumbe huu uchafu wa mchina na muhindi
Ndio huu tunao anza nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…