The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Kwani unashikia bunduki ili uchange.. Mambo mengine mnajipa shida bure.Wazo langu ni serikali kuingilia kati na kupiga maraufuku michango isiyo ya maendeleo. Mfano harusi, na mifano yake. Watanzania huu utamaduni ni wa nchi za kipato cha chini. Mungu ametujalia kuingia kipato cha kati, kwa hiyo michango ya harusi inaondoka yenyewe. Naomba wabunge waokoe hili janga ni tishio kwa wananchi maskini na matajiri pia.
yaaah certainlyBro..kwa.mtu mzima life ni kusapotiana..sio lazima utoe Kama fulani alichotoa..toa/changia kutokana na mfuko wako...hata buku itakuwa Kama mark alart kwa watu / mtu uliyemchangia..japo now days ukichanga 100 tarajia kupata 100 nawe..hata kama uliyemchangia anauwezo wa kutoa zaidi ya hio..hata jali Hali yAko..
Michango ni uwekezaji.
Bro..kanuni za kijamii..ni kwenye shida na raha..ukimiss Moja usije kuona watu hawakupendi ama wanakubagua..then jua si lazima likukute wewe binafsi Ila hata jamaa,watoto na wazazi wako ukataka mchango wa watu wakakususa..Wew unaelekea huwa unafanywa mwenyekit kabisa..acha hyo tabia mbaya..kama huna uwezo usifanye harus.sio kusumbua watu..misiba changia..mgonjwa changia..ada changia.ila sherehe..ni aibu