Ukweli ni kwamba, Mimi binafsi ni mtu wa daraja la kati, uwezo wa kufanya sherehe ya mil 6, 7 mimi mwenyewe ninao. Ila nilitaka kufikisha ujumbe huu kwa jamii, mimi nilienda kanisani na mke mchumba wangu (sasa mke wangu) jumamosi moja miaka mitano iliyopita, nikafunga ndoa na baada ya hapo tukarudi nyumbani. Sikumchangisha mtu na wala mimi mwenyewe sikutumia hela yoyote zaidi ya shela , suti na pete. Mimi na mke wangu tunaishi kwa amani, nina watoto watatu,
umeharibu hapo. why advertise your potential in public? kuwa mpole bwanaUkweli ni kwamba, Mimi binafsi ni mtu wa daraja la kati, uwezo wa kufanya sherehe ya mil 6, 7 mimi mwenyewe ninao. Ila nilitaka kufikisha ujumbe huu kwa jamii, mimi nilienda kanisani na mke mchumba wangu (sasa mke wangu) jumamosi moja miaka mitano iliyopita, nikafunga ndoa na baada ya hapo tukarudi nyumbani. Sikumchangisha mtu na wala mimi mwenyewe sikutumia hela yoyote zaidi ya shela , suti na pete. Mimi na mke wangu tunaishi kwa amani, nina watoto watatu,
Una takwimu mkuu?Wengi mnaopinga michango ni wale ambao tayari mmeshaoa.
Zakwenu mlichangisha bila aibu, za wenzenu mnaona kero
Mkuu hii comment yako kiboko. Ngoja greti thinkazz walete maaidia hapa.sasa wana Jf hebu tushauriane,tufanyeje?kupiga ban hii kitu!kuwe na campaign,au elimu kwa umma,au hadi waje wazungu watuelimishe?
Ukweli ni kwamba, Mimi binafsi ni mtu wa daraja la kati, uwezo wa kufanya sherehe ya mil 6, 7 mimi mwenyewe ninao. Ila nilitaka kufikisha ujumbe huu kwa jamii, mimi nilienda kanisani na mke mchumba wangu (sasa mke wangu) jumamosi moja miaka mitano iliyopita, nikafunga ndoa na baada ya hapo tukarudi nyumbani. Sikumchangisha mtu na wala mimi mwenyewe sikutumia hela yoyote zaidi ya shela , suti na pete. Mimi na mke wangu tunaishi kwa amani, nina watoto watatu,
kila pesa inamatumizi yake! pesa ipo ili itumike,pesa ya kupoteza ni ile uloweka mfukoni ukashtuka ukakuta haipo.Unajua hizi pesa tunazopoteza kwa kuchangishana kwenye vitu hivi visivyo vya msingi kama tungezielekeza kwenye miradi ya maji, vitabu mashuleni,vifaa vya maabara, kwa watoto yatima n.k, matatizo mengi madogo madogo yanayotukabili kama jamii yangeshakuwa historia kitambo...Hii kitu inakera sana, suala la kuoa/kuolewa ni jambo binafsi, na ni heshima kwa mtu kuligharamia mwenyewe...