kinachonikera zaidi ni hii
utakuta watu wameshakaa pamoja wana watoto tena wawili wana umri miaka mitano eti utasikia tuna funga ndoa na kadi za michango kuanzia kitchen party, Send off na harusi
sasa wewe mama mzima na kuzaa mmemaliza unataka kitchen party ya nini, Send off uagwe uende wapi wakati uko kwa mwanaume zaidi ya miaka 6.
si bora mbariki ndoa yaishe
Ndio yale mtu anamuoa mke wake

hongera................................,
ila wanakera sana hawa
Hivi ni lazima wakuu?...nauliza tuhongera................................,
ila wanakera sana hawa
Mkuu suala hapa ni makubaliano. Kama alivyosema mmoja wetu mwanzoni kwamba inategemea kama wewe ulichangisha basi na wewe itakulazimu kuchangia. Pia hii michango sio kweli kwamba mtu analazimishwa, sema tu unapokumbushiwa mtu unaona kama unadaiwa.
Pili hakuna kitu kinachoitwa kubariki ndoa. Iwe watu wameishi pamoja au la wote wanafunga ndoa kwa maana watu wanapoishi pamoja bado hakuna ndoa hivyo hakuna kubariki ndoa bali kufunga ndoa! Nadhani imeeleweka
[/B]
Mtumishi, hapo nilipobold naomba utafute maana ya ndoa
Kanisani, Bomani, Msikitini hao ni wasajili wa ndoa , ndoa ni ya watu wawili wa jinsia tofauti walioamua kuishi pamoja kama mume na mke.
ndio maana kuna ndoa za kimila, serikali na kidini