Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

kinachonikera zaidi ni hii
utakuta watu wameshakaa pamoja wana watoto tena wawili wana umri miaka mitano eti utasikia tuna funga ndoa na kadi za michango kuanzia kitchen party, Send off na harusi
sasa wewe mama mzima na kuzaa mmemaliza unataka kitchen party ya nini, Send off uagwe uende wapi wakati uko kwa mwanaume zaidi ya miaka 6.
si bora mbariki ndoa yaishe

Ndio yale mtu anamuoa mke wake

Khaaaaaaaaaa!
 
Hahahaha lol! nimealiza siku vizuri kwa kicheko
 
ukitoa mchango halafu mkubwa,ujue umejifungulia kwa huyo my wife wa rafiki yako,ukimuomba hatojifikiria mara 2. Nalog off
 
kinachonikera zaidi ni hii
utakuta watu wameshakaa pamoja wana watoto tena wawili wana umri miaka mitano eti utasikia tuna funga ndoa na kadi za michango kuanzia kitchen party, Send off na harusi
sasa wewe mama mzima na kuzaa mmemaliza unataka kitchen party ya nini, Send off uagwe uende wapi wakati uko kwa mwanaume zaidi ya miaka 6.
si bora mbariki ndoa yaishe

Ndio yale mtu anamuoa mke wake

Mkuu suala hapa ni makubaliano. Kama alivyosema mmoja wetu mwanzoni kwamba inategemea kama wewe ulichangisha basi na wewe itakulazimu kuchangia. Pia hii michango sio kweli kwamba mtu analazimishwa, sema tu unapokumbushiwa mtu unaona kama unadaiwa.

Pili hakuna kitu kinachoitwa kubariki ndoa. Iwe watu wameishi pamoja au la wote wanafunga ndoa kwa maana watu wanapoishi pamoja bado hakuna ndoa hivyo hakuna kubariki ndoa bali kufunga ndoa! Nadhani imeeleweka
 
hongera................................,
ila wanakera sana hawa
 
Mkuu suala hapa ni makubaliano. Kama alivyosema mmoja wetu mwanzoni kwamba inategemea kama wewe ulichangisha basi na wewe itakulazimu kuchangia. Pia hii michango sio kweli kwamba mtu analazimishwa, sema tu unapokumbushiwa mtu unaona kama unadaiwa.

Pili hakuna kitu kinachoitwa kubariki ndoa. Iwe watu wameishi pamoja au la wote wanafunga ndoa kwa maana watu wanapoishi pamoja bado hakuna ndoa hivyo hakuna kubariki ndoa bali kufunga ndoa! Nadhani imeeleweka

Mtumishi, hapo nilipobold naomba utafute maana ya ndoa
Kanisani, Bomani, Msikitini hao ni wasajili wa ndoa , ndoa ni ya watu wawili wa jinsia tofauti walioamua kuishi pamoja kama mume na mke.
ndio maana kuna ndoa za kimila, serikali na kidini
 
[/B]

hebu kawaambie wachaga na Wahaya haya maneno yako then tuletee reaction yake. Lol
 
igeni mfano wangu, mtaishi kwa raha na amani. Sikumbuki mara ya mwisho nilichanga lini katika shughuli ya mtu. Nilifanya harusi, sikuchangisha mtu, and it was the best maana nilialika ninayemtaka. Hakuna wa kunilaumu, rafiki zangu wanaonijua wameshajua hua sichangi hivyo wengine wananipa kadi ya mwaliko, na ninakwenda vizuri na zawadi yangu mkononi.

Wa Tz inabidi kuamke tuachane na huu ushamba sijui ulimbukeni wa kuchangiana kwenye harusi. Nikija nikakuambia nina mgonjwa anatakiwa C-Scan gharama lakini 8 utakimbia wala hutageuka.

Akifa utakuja kunipa pole na mchango juu. umesahau kua huenda mchango wako wa C-Scan ungefanya asife. Hapo una kazi 4 za harusi na zote una mpango wa kuzichangia. hebu tuamke jamani. Michango ya harusi, graduation, vipaimara, bday... upuuzi gani huu!
 
serious nakerwa na michango,mi nshaanza ipotezea na nkitoa zcdsh elf 20,hapo cpewi kad but nimeonesha ushrkiano.
 
hili suala linahitaji mjadala mpana sana....
 
Habari wanajf,sijawahi kuanzisha thread yoyote ila leo nimeona hili jambo linanikera na linazidi kukua.Kuna tabia ambayo sidhani kama ni nzuri hapa Tanzania.watu wanakuwa wanataka kuoana na wanaishia kuchangisha watu.Mtu unajikuta unacard hata 8 ndani na zote zinahitaji michango!Wengine hata huwajui na wanakudai mchango kama vile ni deni!Wenzetu wa nchi nyingine harusi ni suala la mtu binafsi na hawamchangii.Mfano Kenya wanafanya harambee kuchangia elimu na sio harusi.Ila hapa Tz tunaishia kuchangia harusi ila mtu mgonjwa au aliyekosa ada ya shule hachangiwi.Najua kuna nitakaowakera hapa ndani kwasababu tayari washapeleka card zao kwa watu.Ila kwanini tusianzishe kampeni ya kuacha kuchangia harusi?Sidhani kama nia ya kufunga ndoa ni kula na kunywa!Mtu kama hana hela ya kufanya sherehe afunge ndoa na kutulia nyumbani kwake.Naombeni mawazo yenu please!!
 
Kwa kweli hilo ni wazo zuri mwanzoni mwa November mimi binafsi nilikuwa na kadi 12. Nikajiuliza hivi hii pesa ntaipata wapi ? niliamua kutochanga kwa baadhi nadhani wahusika wataelewa!
 
Hapa nlipo nna kadi 7 za kuchangia, nko kwenye kamati mbili za harusi.
Yani mpaka unatamani ujifiche kabisa. Michango mpaka kero.
 
Bora na nyie mmeliona hilo ndg zangu maana nilidhani ni mimi tu!kuna watu wanataka harusi za kifahari mkimuuliza yeye ana sh ngap haifikii hata robo ya budget ya harusi anayotaka!kwanini watu wasijifunze kufanya kitu kilicho ndani ya uwezo wao badala ya kusumbua wengine?!
 
[font=&quot]tatizo watz tumekuwa watu wa kuiga kila kitu. Huo utaratibu ulianza huko duniani tukaukop km ulivyo. Hao tulio waiga wameshaacha kitambo (labda baada ya kuona madhara yake)! [/font]
 
Nilishaacha cku nyingi kuchangia. Haiingii akilini mtu anafunga ndoa kisha anategemea michango ili kufanikisha sherehe.
Mie nilifunga ndoa mwaka 2006 na kwa sababu hili suala la kuchangia sikuwa nalipenda, sikuhitaji mchango toka kwa mtu yeyote. Nilichofanya nilikwenda kufunga ndoa kanisani na baada ya hapo tukarudi nyumbani na mke wangu.rafiki zangu hawakufurahi kwa uamuzi nilioufanya "eti kwa nini sikuwachangisha". Namshukuru Mungu kwamba bado naishi na mke wangu mpenzi.
Hivyo kwa mtazamo wangu sioni kama kuna sababu ya kuchanga mchango kwa ajili ya sherehe. Mhusika ndo anatakiwa kuandaa kila kitu na kama anapenda, aalike ndugu na marafiki. Yaani sherehe cku hizi zinagharimu mamilioni ya shilingi wakati baada ya sherehe maharusi hawana mbele wala nyuma.
Naunga hoja ya kuacha kuchangia michango ya Harusi!
 
Back
Top Bottom