obama wa bongo mkuu na mimi ntakuunga mkono:yell:well said mkuu! hii kitu mm inanikera sanaaaaaa!utashangaa kwa mwezi una kadi nne,nimeanzaa kupunguza kuchangia nachangia watu wakaribu tu ambao nina mazoea nao!mpango wangu wa mwakani ni kuacha kuchangia kabisaaaaaa!
utamaduni wa kiombaomba unaanzia ikulu kuja mpaka kwenye jamii
Mkuu ndani ya wiki hizi mbili za June, tayari ni kadi 3 za harusi na send off, moja 25000, nyingine 40000 na nyingine 50000! Ndani sina hata seti ya sofa! Huu ni use.N.G.Ele!
Mambo ya kuiga na yanakeraaa!!!!!!!
Yaani michango kila kona!
Arusi, kipaimara, graduation, ubatizo, misiba!!!!!!!!!!!!
Yaani badala ya kuchangia elimu tunachangia tu sherehe!!!
Je inatusaidia nini????