Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HARUSI MOJA MICHANGO LUKUKI
- Kapu la mama
- Kicthen party
- Bachelor's part
- Send-off
- Hrausi
- Michango ya zawadi ofisini
- Michango ya kugharamia wawakilishi wa ofisin, kama harusi inafanyika mbali na kazini
Irresponsible life/corruption behaviour! halafu jitu zima linakununuia kwa sababu haujamchangia moja ya vipengele hapo juu, kwani unaniolea mmi? she....zi na Pum...fu zenu!
Mi sichangii harusi ng'o, na wengi wananinunia eti kisa sijachangia harusi zao shenzi wala sina habari ukinuna nuna tu.
We umeshaoa? Au kuolewa?
kwani bado hujapata best ?
Ndio with kids tayari, na nilioa bila sherehe ya kuchangisha watu. tulienda church baada ya hapo chakula cha mchana na wapambe na ndugu wachache basi, na ndoa inadunda tu.
Michango ya harusi ni majanga, halafu wanadai utafikiri ni deni yaani ni kero.
wazee nashangaa mmaongea harusi na michamgo harusi zenyewe zi wapi??they marry 2dy next week you find them seiking divorce at court of law! why but...should u indulge urself domesticating a cow when you can get a litre of milk from a kiosk????!!!
itafikia kipindi nitakosana na jamaa zangu hapa nilipo nina kadi 10 huku ni kuumizana
Huku ni kuendekeza ujinga tu. Mara nyingi si vijana wanataka hivyo, ni wazazi ndio wanataka sherehe kubwa. Wana misemo yao "mi ndio mwenye harusi we wako mke tu" au "nimeshachangia sana sasa zamu yangu kuchangiwa"
Mwisho wa siku ni kijana ndio anahangaika kukimbia huku na huku kukusanya hiyo michango. Halafu watu wanakula milioni kadhaa kwa masaa machache, maharusi wenyewe hawana cha kuanzia maisha. Ni ujinga mtupu.
Napata kadi za kuchangia harusi karibu kila mwezi naletewa karibu kadi 3, @50,000 approximately =150 , 000 .
Haya majanga sana ,mshahara wangu 550,000 , which means 30% michango harusi ,Ninaacha haya mambo ,mimi mwenyewe sitafanya hiyo mambo, yaani kila weekend tupo busy kuchangisha h arusi ,kama tunataka kutokomeza umasikini na wakati tunatiana umasikini ,siwezi tena.Jamani kama huna uwezo usisumbue watu bwana ,funga ndoa ya kawaida tuache mambo ya kuiga
Best bado sijapata, vipi...una neno zuri la kuniambia??