Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,054
- 1,415
Ndoa ni sakrament (kile kitendo kinachofanywa na padri/mchungaji/sheikh cha kuwaunganisha) na harusi ni ile sherehe ya kusherehekea tukio hilo. Ndio maana unaitwa mchango wa harusi na sio mchango wa ndoa!Ndoa nn harusi nn changanua
hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeona umeongea kana kwamba tayari ndo maana nikakuuliza tu
Kama
hujaoa huwez kujua
maana ya hii kitu,binadam ameumbwa kusema tu,usipomwambia
kero,ukimwambia kero,kiufupi harus ina lengo la watu kushuhudia ukiwa
unatoka ktka hatua flan ya maisha,kuingia nyingine, cha msingi ni
kuangalia mfuko wako ukoje na kupanga mipango inayoendana na uhalisia.
Ila wakuu lazima mjue urafiki wa kweli una gharama na gharama wakat
mwingine sio pesa tu hata muda.
bestito, mmh...!
Nilitegemea tungeongea vizuri, kumbe unataka kujua tu. Kwani wewe ushampata asali wako??
Kama unataka kuongea na mm ingia pm
pm napaogopa kama hiv..!
Napata kadi za kuchangia harusi karibu kila mwezi naletewa karibu kadi 3, @50,000 approximately =150 , 000 .
Haya majanga sana ,mshahara wangu 550,000 , which means 30% michango harusi ,Ninaacha haya mambo ,mimi mwenyewe sitafanya hiyo mambo, yaani kila weekend tupo busy kuchangisha harusi ,kama tunataka kutokomeza umasikini na wakati tunatiana umasikini ,siwezi tena.Jamani kama huna uwezo usisumbue watu bwana ,funga ndoa ya kawaida tuache mambo ya kuiga
inaonekana limekugusa hili ushauri wa bure ni kwamba kama umeamua
kufanya harusi usisumbue watu kwa michango acha hao marafiki au ndugu
wakuchangie kwa hiari yao mambo ya kulazimisha niwe mwanakamati ili nitoe fedha nyingi ni upuuzi
Hivi ni sawa jamaa anataka kuoa hana hata sent mfukoni anategemea michango ya washkaji...?...Mi naona Harusi BOMBA ni ile jamaa anaandaa kila kitu anawaita washkaji kwenda kushuhudia,kumpongeza na kumpa zawadi....Au wana JF mnasemaje..?