Ahahahha hapo Ali surrender mwenyeweee ndiooo dawaaa yaooo hiooo
Ni kweli hamjui sababu au mnataka kujifanya mna akili nusu..??!! usipochanga harusi na wewe huchangiwi.., na kila ukikutana na yule uliegoma kumchangia unaona aibu na kumkimbia mpaka kifo. Usipochanga elimu nani atakuandama kama nzi.., hakuna. Hii ndio sababu.

Harusi humchangii mwenye harusi unatoa hela ya kutumia wewe mwenyewe.....utakula chakula,vinywaji,unaburudika na muziki kidogo na kurefresh wakati mtu akienda kusoma hela yako hairudi na hufaidiki na chochote kwa hela uliyotoa
Ha ha ha haaaElimu haileweshi nasi twataka kulewa
Nafikiri shida kubwa ipo kwenye nmna pesa inavyotumiw na kamati ktk kukamilisha zoezi Zima la sherehe. Lbd tungejitahidi kubadili hii mitazamo iliyopo kwenye hizi kamati za sherehe badala ya kutumia pesa yote kwenye sherehe kuwe na utaratibu wa kumuinua/kuwainua maharusi kama vile kuangalia mambo muhimu ambayo hawana. Kwa bahati mbaya sisi si wakweli iwapo maharusi wataamua kutumia pesa za michango kwa maendeleo yao basi utasikia mengi.
Tatizo lipo kwenye jamii haina nia thabiti ya kusaidiana
we utakuwa hujaoa jamaa kakuudhi, pole.Kwani lazima uchangie?we kama hutaki kuchangia usichange nakushangaa unaleta mada ya kijinga kama hii