Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Namshukuru Mungu sikumtegemea mzazi wala ndugu katika arusi yangu;bali rafiki wachache.
Waalikwa ni bure ukumbini !
 
kwani gharama za harusi ziko kwenye keki pekee? ukitaka mambo yaende safi kafunge ndoa jumapili misa ya kwanza alafu nenda nyumbani na mkeo.. sherehe unaita ndugu zako na wa upande wa mwanamke.. kama ni mchele kg 10 haiishi, nyama kg5 ni nyingi mno, soda creti 1, bia (kama kuna waywaji) kreti 1.. na uwe na sh 100000 ya emergence kwenye hiyo budget...
mambo ya keki ni anasa... kwanza sijui maana yake.
 


Safi sana.
 
Na kwawasio sali kanisani vipi?
 

wanaume hii mtaipenda. ahaaaa sherehe ya nguvu lazima. na si za serikali
 
Kama lengo ilikuwa kuwa tofauti wameweza

Ila kama lengo ni kusave huyo jamaa atakua kiazi, kupamba ni gharama kubwa kuliko keki
 
Wanawake kwa kupenda misifa, utawaona tu kwenye komenti zao.
 
Kwa keki kawakilisha uafrika... cc hatuna keki... Kupamba mhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…