Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Namshukuru Mungu sikumtegemea mzazi wala ndugu katika arusi yangu;bali rafiki wachache.
Waalikwa ni bure ukumbini !
 
kwani gharama za harusi ziko kwenye keki pekee? ukitaka mambo yaende safi kafunge ndoa jumapili misa ya kwanza alafu nenda nyumbani na mkeo.. sherehe unaita ndugu zako na wa upande wa mwanamke.. kama ni mchele kg 10 haiishi, nyama kg5 ni nyingi mno, soda creti 1, bia (kama kuna waywaji) kreti 1.. na uwe na sh 100000 ya emergence kwenye hiyo budget...
mambo ya keki ni anasa... kwanza sijui maana yake.
 
Safi sana.
 
Na kwawasio sali kanisani vipi?
 
Wanaume tuwe na msimamo
thabiti katika kupunguza gharama za harusi. Huyu ndugu yangu muhehe
nimemkubali sana. Hakubeba kapu kuomba omba na kufanya usumbufu kwa
watu. Kawaida wanawake ndio wanao fanya msukumo kutaka sherehe ya harusi
iwe vipi. Ila huyu ndugu akafanya kulingana na bajeti yake na sherehe
ilinoga sana.

Natupia picha moja tu kuwa kieleleza cha kuweza kuokoa 300,000/= mpaka
500,000/= za keki na kuweza kutumia 15,000/= tu

View attachment 194950

wanaume hii mtaipenda. ahaaaa sherehe ya nguvu lazima. na si za serikali
 
Kama lengo ilikuwa kuwa tofauti wameweza

Ila kama lengo ni kusave huyo jamaa atakua kiazi, kupamba ni gharama kubwa kuliko keki
 
Back
Top Bottom