Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Mie kuna dada kabila langu ni mwalimu wa shule ya msingi, alinipa kadi ya send off ya mwanae ilikuwa mwaka 2015 nikamwambia niko vibaya, AMENINUNIA HADI NINAVYOTUMA HII COMMENTwanaanzia wapi kukupa kadi kama ukiwaambia kwamba hali yako sio nzuri...
mimi akinipa tu.. pale pale namwambia nina hali mbaya sana
Send off na kitchen party havikuhusu na wala huna maamuzi navyo ni vya upande wa mwanamke.Nitachanga kwa watu wangu wa muhimu tu.tena usiniwekee kima cha chini nitachanga ninachoweza kutoa na sio lazima unipe kadi ya mwaliko kwanza sio mpenzi wa masherehe yasiyokuwa na kichwa wala mguu,sherehe zenyewe zote zinafanana.na pia sina mpango wa kumchangisha mtu nitakapoamua kuoa.nitafunga ndoa masjid asubuhi sana,mchana inaandaliwa karamu isiyokuwa na kadi ya mwaliko free for all.jioni nasepa zangu na mamsap kuelekea honeymoon kokote nitakokuwa na uwezo nako iwe zanzibar au Bahamas.mambo ya kitchen party na send off hayapo kwenye ratiba zangu,mwali atafundwa na mashangazi kwenye semina elekezi.
Mkuu ndo maana nkasema hayapo kwenye ratiba yangu,siwezi kulazimisha zisifanyike,lakini sina wajibu nazo na zisipokuwepo itakuwa poa zaidi.Send off na kitchen party havikuhusu na wala huna maamuzi navyo ni vya upande wa mwanamke.
Wazazi wake wakiamuwa kumuanfalia sherehe ya kumuaga huna ubavu wa uhalali wa kuzuia, wewe utaalikwa tu kuhudhuria sherehe na some delegation yako.