Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Sometimes michango inaleta uhusiano mzuri baina ya ndugu na marafiki,wengine fahari yao ni kuchangiana,kwani michango lazima bhana kama hutaki unaacha,kwanza michango mingi si ya kushtukiza unaambiwa kabla,sasa kama mchango tu kumsaidia ndugu yako au rafiki hutaki je utaishije na majirani katika kusaidiana.
Hilo nalo neno Viol
 
Last edited by a moderator:
Pili bila shaka wewe ni muslim,mana nyie ndoa hata ukiwaambia watu kuanzia asubuhi kwamba unaoa saa mbili usiku nyie ni poa,ila kristos ndoa zao ni process,then naomba umuulize baba yako,alivyofunga ndoa alichangisha au? Labda ndoa iwe ya mkeka
Nadhani umekosea; suala la NDOA halina gharama kabisa, iwe ni ya kiserikali,kikristu au kiislam.... Kinacholeta tofautini SHEREHE baada ya ndoa kufungwa kanisani/msikitini/kwa mkuu wa wilaya.
Nadhani ni muhimu kwa mtu kufanya sherehe ya harusi kadri ya uwezo wake yeye na ndugu zake wa karibu(bila kujali ni ndoa ya kikristu/kiislam.
Kwa mfano mimi mwenyewe sherehe ya ndoa yangu sikuchangisha mtu... na bajeti yake ilikuwa milioni 2.3; na mimi na mke wangu tuli enjoy.
 
umerudia thread hii ni common sana kama hutaki kuchangia piha kimya kataa kuwepo kwenye kamati pia kadi usichangie
 
Hizo ni ndoa za Kikristo na Kiislam..ila kwetu ni kifirauni/kipagani zaidi unaoa then unanunua gunia moja la unga wa dona,mbuzi mmoja na lita 100 za pombe ya kienyeji wazee,watoto na vijana mnakula na kunywa.....hakuna kusumbuana na michango ya kicheni pati wala ukumbi na keki....kibaya zaidi ukumbini kuna mlinzi asiyechangia asiingie
 
Hata mimi huo ujinga sifanyi,sitoi michango ya harusi na wala sitaomba ya mtu. Ukiendekeza huu ujinga wa kuchangia harusi mwisho wa mwaka utajikuta umetumia pesa nyingi sana. Kuoa ni kwa faida yako haina maana kusumbua wengine.

Thus y I lov my dad
Hana muda wa kuomba mchango

Ukijiskia kutoa haya usipotaka haya
Tulikuwa hatumuelewi mwanzoni
Lkn ss tunamuelewa
 
Kushrikiana kwenye furaha na hudhuni ni utamaduni wetu bahati mbaya hawa waliogeuza biashara sherehe za wenzao ndio wanao tuharibia mkuu. Unajua hata hiyo mil 1 inatosha kabisa kwa sherehe ya harusi tatizo huwa lipo kwa wanakamati.

Asante ww umeeleza vzr!

Yaani kamati tu ina matumizi mpaka unashangaa!

Mi kiukweli baba angu hataki kabisa kumlazimisha mtu akuchangie, somtym mtu hana inakuwa km deni mpaka anakosa raha!
Na.kuna wengine asipochangiwa anaweka bifu kabisa utafikiri ni lzm au anajua.maisha yako!

Tufike mahali tusiwekeane chuki mtu kwa ajili ya michango
 
Mtoa mada unataka kusema watu waoe bila kuchukua mchango????

vp kwa upande wako
 
mm nashindwa kuelewa kwan harusi n kiapo au kula na kunywa jamn....
kwann watu wasioane tu bila ya sherehe!!padre akisema u are now husband na wife c ndo tayar ndoa.....sherehe za mapesa mengi tena ya michango za nn!!
 
Kwa mtazamo huu mtoa mada anamaanisha ht kwenye sherehe ya ndoa hakuna haja ya kuita watu.. Maana ni starehe ya wawili

mi nadhani mada ingekuwa hivi...... Tusilazimishe michango ya harusi iwe hiyari...... Kadi ya mchango haisemi tunataka mchango... Inasema tunaomba..... Maana yake kama hauna unasema.. Kama unayo na unataka kuchangia changia.......

Sasa kwenye kukumbushwa ni pale unapoahidi utatoa siku flan halfu hutoi lazima ukumbushwe mana ahadi ni deni bhana

lakini yote tisa.. Ukijiweka kwenye kundi la kutochangia kumbuka na ww hautachangiwa.....

Utamaduni wa kuchangiana uendelee.. Sote ni watanzania titashirikiana daima huu ndo utamaduni wetu kushirikiana kwa hali na mali ktk masuala mbalimbali ya kijamii

michango wanaomba matajiri sembuse watz wenye maisha ya kawaida.........

Mtoa mada tukaushie......
 
mm nashindwa kuelewa kwan harusi n kiapo au kula na kunywa jamn....
kwann watu wasioane tu bila ya sherehe!!padre akisema u are now husband na wife c ndo tayar ndoa.....sherehe za mapesa mengi tena ya michango za nn!!

Julsa..... Ujinga ni kutaka kwenda kinyume na mila na desturi zilizozoeleka ktk jamii iliyokulea hadi kukua na kupata akili

sion mantiki ya kukwepa sherehe baada ya ndoa...

Unafanya sherehe ya mahafali sembuse ndoa????
Msiba tu unakuwa na kalamu swmbuse ndoa

kama mmekosa ya kuandika ni heri kupumzka tu
 
madukwapa nilichomaanisha ni kwamba kama utafanya sherehe baada ya ndoa basi igharamikie ww mwnye shereh alika watu waje wale tuu ucsumbue watu na michango...umenipata madukwapa
 
Asante ww umeeleza vzr!

Yaani kamati tu ina matumizi mpaka unashangaa!

Mi kiukweli baba angu hataki kabisa kumlazimisha mtu akuchangie, somtym mtu hana inakuwa km deni mpaka anakosa raha!
Na.kuna wengine asipochangiwa anaweka bifu kabisa utafikiri ni lzm au anajua.maisha yako!

Tufike mahali tusiwekeane chuki mtu kwa ajili ya michango
Kweli kabisa kuna watu hawana ustaarabu vitu vidogo wanaweka chuki.
 
Kuchangia sio mbaya ila kunataasisi wanalazimisha sana haya mambo
Kuna sehem nilifanya kazi mkuu wa idara kidogo anifukuze kazi sababu sikuchangia harusi ya mwanae .
Kuna mambo ya msingi ya kuchangia kama magonjwa ,
Shule na matatizo mengine kwenye jamii . Nashangaa jinsi tunavojitahidi kuchangia Arusi kuliko wagonjwa wetu wanaohitaji msaada wa upasuaji

Nimecheka sana mkuu. pole sana,duuh! Yaani kidogo ufukuzwe kazi kisa hukuchangia harusi ya mtoto wa mkuu wa idara? hatari sana.

Kinachoniuhdi ni michango kua kama deni,kila mara sms ya kukumbusha,simu,yani kero tupu alafu unakuta wameweka kiwango flani bila kujali hali ya wachangiaji unakuta kingine kiko juu sana kwa baadhi ya watu ila wao wanataka ukifikishe,yani ni tabu tupu. Tubadilike kwa kweli aisee.
 
Mimi nipo tofaut kidgo.
Kwa destur yetu Watanzania ni watu wakirimu na kupenda kushirikiana. Ni jambo jema kupeana saport katika shida na raha

Tuache ubinafsi na kudopt maish ya jamii zingine
Tena huko nyuma hasa vijijini kabla hii biashara ya kamati za gharama watu walikua wanachangishana walicho nacho kama vile chakula. Yaani mtu analeta mchele au unga na sherehe inakua nzuri ,ila hawa wanakamati huwa wanampotosha bwana harusi na kumlaghai kuwa ni vema ufanye sherehe ya aina flani . Iwapo wenye harusi watakua na misimamo thabiti basi michango huwa ni midogo mno na huwezi sikia lawama. Kwa mfano hii mil 1 mbona kama ni watu 20 inatosha sana kufanya harusi.
 
Kushrikiana kwenye furaha na hudhuni ni utamaduni wetu bahati mbaya hawa waliogeuza biashara sherehe za wenzao ndio wanao tuharibia mkuu. Unajua hata hiyo mil 1 inatosha kabisa kwa sherehe ya harusi tatizo huwa lipo kwa wanakamati.

M1 hiyo usiende ukumbini uwaalike tu ndugu nyumbani sahani moja ya wali na soda basi
 
Nimecheka sana mkuu. pole sana,duuh! Yaani kidogo ufukuzwe kazi kisa hukuchangia harusi ya mtoto wa mkuu wa idara? hatari sana.

Kinachoniuhdi ni michango kua kama deni,kila mara sms ya kukumbusha,simu,yani kero tupu alafu unakuta wameweka kiwango flani bila kujali hali ya wachangiaji unakuta kingine kiko juu sana kwa baadhi ya watu ila wao wanataka ukifikishe,yani ni tabu tupu. Tubadilike kwa kweli aisee.
Yaani hii tabia ipo sana huku kwetu
Kilimanjaro unakuta katika Mwezi unakadi 6 halafu wote wanataka walau elfu 50 na kuendelea .... Mshahara kwa Mwezi 280k . Bado kuna ada za watoto yaan ni shidaa...
Kuna jamaa alichangia harusi akajitutumua akatoa laki moja halafu kadi wakamtosa jamaa akafikiria ilitokea kwa bahati mbaya ndo akaja kugundua kadi zilikuwa zinatolewa kwa waliotoa anzia 150k tu yaan jamaa alilaani sana hicho kitendo.
 
Back
Top Bottom