Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi wanatembea na kadi ambazo hawajajaza majina, wakikutana na watu wanaowafahamu haraka wanawaandika majina na kuwapatia kadi papo kwa hapo...shida tupu siku hiziHahah huyo ungempa jina la uongo tu mkuu
Kwenye misiba,maradhi,na matatizo mwengine kweli ni moyo lakin sio harusi ambazo inafungwa jmosi halafu jumatatu kila mtu anabeba begi kurudi kwao, harusi imekiwa kama fashen za kuineshana ufahari ,Hauna tofauti na anayesema "usingekua unakunywa ungekuwa unamiliki ghorofa" wanasema kutoa ni moyo si utajiri....
Hiyo technique nzuri. Nitaicopy!mie nashukuru sikuchangiwa na w
engi...nimeyatunza majina ya wale walonichangia nikiletewa kadi nachungulia kwenye list ya wale.lisipokuwepo sichangiii
Wandugu,
Leo napenda kuwakumbusha kuwa kwa kujidai wewe ni mwema kwa kuchangia kila harusi iliyo mbele yako, unajimaliza mwenyewe (nakulinganisha na mtu anayepiga punyeto a.k.a punyere kwa kuangalia picha za utupu mtandaoni).
MBINU YA KUKWEPA MICHANGO
Usiwe na maneno ya diplomasia kwa anayeomba mchango, mjibu live kuwa mi sikupi mchango na usinisumbue *****! Kwa jibu hili atapanic na hatarudi tena kwako, kisha chukua hiyo 100,000 au 200,000 kaweke akiba kuwa na malengo baada ya mwaka una akiba ya kutosha.
Kutoa ni hiyari/moyo ila sasa waombaji michango wanalazimishaHauna tofauti na anayesema "usingekua unakunywa ungekuwa unamiliki ghorofa" wanasema kutoa ni moyo si utajiri....
Kweli kabisaHuu utaratibu wa kuchangia harusi sijui tuliutoa wapi?
Na harus zimekuwa commercial sana. .....
..
Nimepokea sms nyingi sana za michango ya harus kutoka kwa watu tuliopotezana miaka mingi sanaaaJamaa mmoja hivi. Tulikuwa marafiki wa karibu sana wakati tupo Secondary school.
Tukahitimu secondary. Baada ya maisha ya skonga kufika tamati, na urafiki wetu ukaanza kupungua.
Tukapotezana. Baada ya miaka mitatu, nikasikiaga kuwa mwana yupo chuo 'mlimani' anakata kitabu. Nikapata contacts zake. Mimi nipo kitaa naunga unga, life la manati. Nikawa namtafuta mwana ili kumjulia hali, kila napopiga simu... ananiuliza: "wewe nani?" namjibu, then tunapiga story mbili tatu. Kila nikimpigia, the same shitt: "wewe nani"? namba yangu ni ile ile. Nikimtext kumpa Hi, hajibu SMS. Nikaona uduwanzi, nikadelete namba yake, na nikamu-erase out of my memory. Nikam-unlist from my folks list.
After miaka kadhaa, majuzi kati hapa (3 months back) nikakuta misscall. Kabla sijaitwangia iyo namba, gafla nikapata SMS kutoka kwake...
Yeye: "Hi kiongozi. Ebana habari za masiku tele. daaah long time kitambo"
Mimi: Fureshii barida. eeh wewe nani? naona namba mpya
Yeye: "Mimi fulani (akataja jina), mshikaji wako. Vipi pande zipi siku hizi? nimekucall ila naona hukupokea simu"
Mimi: Eeh nambie, unasemaje? sorry, sikusikia simu... nilikuwa bize kujiburudisha na headlines za media house bongo juu ya faru john, chato international airport, mauzaUza ya Ben Saa9, n.k. Akadabla'kadablah nyingi nchi hii.
Yeye: "ebana Mkuu, mwezi December mie naoa. Mie nachukua jiko kaka. Nipo katika maandalizi ya harusi.
Mimi: So what? nifanyeje. Au unataka niwapeleke Chato wewe na mkeo mkale honeymoon? maana usafiri upo, siku izi namiliki Dreamliner.
Yeye: "Hahahaa. Mchango wako kaka. Nahitaji support yako, as my best friend. Si unajua haya mambo bila support hayaendi kaka."
Mimi: Acha ufala. Ingekuwa msiba au majanga ningechangia, but not shangwe kama hiyo. BTW, am I still your best friend? Acha ufala.
Yeye: ... kimyaaa mpaka leo hakujibu.
My take: Watu wakiwa na shida ya kuchangiwa harusi ndipo hukumbuka mpaka friends zao oldi skuli. Uduwanzi kishenzzi.
-Kaveli-
Nimelianza 2016 hii hadi kwenye profile yangu ya whatsApp niliiweka hiiKwa usawa huu wacha tuwe wabahili
Nimepokea sms nyingi sana za michango ya harus kutoka kwa watu tuliopotezana miaka mingi sanaaa
HahahaJamaa mmoja hivi. Tulikuwa marafiki wa karibu sana wakati tupo Secondary school.