Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Mi sijaiona kama ni kero maana yangu watu walitoa
 
uzuri wangu .nilipo anza mwaka nimefuta marafiki wote mpaka jamaa kimawasiliano hata majirani kuepuka haya mpaka unamaliza mwaka
 
SASA KAMA UCHANGII WENZAKO NA WEWE HAUTACHANGIWA......

MIMI NAPENDA SANA KUWACHANGIA MARAFIKI ZANGU NA NDUGU ZANGU KIPINDI CHA HARUSI LAKINI MCHANGO WANGU HUWA NAWACHANGIA NDUGU ZANGU WA DAMU NA MARAFIKI ZANGU WA DAMU NILIOSAIDIANA NAO KATIKA SHIDA NA RAHA.

LAKINI MARAFIKI NA NDUGU WANAFIKI NA MIMI HUWA SINAGA ITIKADI ZA KUCHANGIA
 
Tuache utani jmn michanho inakera asee mi harusi yng nshapanga ctaki mchango wa mtu ntaangalia nna kiasi gani benki ndio ntajua nifanye sherehe au nipige kmyaya!
 
Hizi kero zilinifanya nibadili namba,nikabakiza kuchangia watu wa ofisini tu na majirani ambao ni wachache.mtu mawasiliano hamna miaka kibao,akitaka kuoa ndo anaanza usumbufu.yaani kisa tulisoma wote olevel,advance sijui chuo zamani hukooo leo unanitafuta kisa mchango.shubaaash
 
Sawa tumekuelewa ila huu ubabe wa kujifanya huchangii harusi usituambie sisi kwani hatukujui,mfanyie huo ubabe aliekwambia umchangie,hapo tutadhihirisha kweli wewe kidume...
 
NA WANAONILETEA KADI ZA NDUGU AU MARAFIKI ZAO WAKOME KABISA.
 
Tuache utani jmn michanho inakera asee mi harusi yng nshapanga ctaki mchango wa mtu ntaangalia nna kiasi gani benki ndio ntajua nifanye sherehe au nipige kmyaya!
Ajabu ni pale unapomweleza ukweli kuhusu hali yako anakugeuza adui
 
Sawa tumekuelewa ila huu ubabe wa kujifanya huchangii harusi usituambie sisi kwani hatukujui,mfanyie huo ubabe aliekwambia umchangie,hapo tutadhihirisha kweli wewe kidume...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mkuu taratibu bwana hakuna ubabe wala mini

Au mwonekano wangu ndo unakutisha, wla sipo hivyo, ni mpole na mnyenyekevu sana
 
Hii kitu kwa kweli hata mi nilishatangaza kuwa kadi za michango basi.... yaani sasa hivi wako kama wamefunguliwa vile.....
 
Binadamu wengine sio waelewa kabisa,yani mtu kila baada ya mwezi anakuletea card ya mchango mara huyu mtoto wa mjomba,mara washangazi,mara mtoto ninaemlea,mara mtoto wa X wangu,mkapa unajiuliza huyu anapata wapi hela zakufanya harusi? mwisho wa siku usipotoa ana kununia au anasema ivi kweli yule anakosa laki moja ya mchango au anajitia ufukara asokua nao?
 
Unalalamika nini? Kwenye harusi yako bajeti ilikuwa Shs 25 milioni. Wewe na familia yako mkatoa shs milioni 3.5 zilizobaki tukakuchangia sisi, lazima ulipe fadhila.

Anayekataa kutoa michango ya harusi awe ni yule ambaye hakuchangiwa kwenye harusi yake na hatarajii kuchangiwa...
 
kama ww ulichangiwa hakuna kero yoyote we changa tu hakuna namna

kwahiyo ata itokee ndg yako anaoa au kuolewa hutachanga utaita kero
 
Sitarajii kuchangiwa kwenye harusi yangu ila natarajia na nachangia za wengine...huwezi kujitoa moja kwa moja kwenye jamii ulliyopo...hizi ni like norms kwa muda mrefu sasa
 
Watu wengine UELEWA wao ni finyu sana. Dawa yao ni kuminya tu na kukaa kimya kuhusu maombi yao ya michango. Wafanye harusi wanazoweza kugharamia wenyewe na siyo kuwabebesha wengine majukumu yasiyowahusu.

Binadamu wengine sio waelewa kabisa,yani mtu kila baada ya mwezi anakuletea card ya mchango mara huyu mtoto wa mjomba,mara washangazi,mara mtoto ninaemlea,mara mtoto wa X wangu,mkapa unajiuliza huyu anapata wapi hela zakufanya harusi? mwisho wa siku usipotoa ana kununia au anasema ivi kweli yule anakosa laki moja ya mchango au anajitia ufukara asokua nao?
 
Watu wengine UELEWA wao ni finyu sana. Dawa yao ni kuminya tu na kukaa kimya kuhusu maombi yao ya michango. Wafanye harusi wanazoweza kugharamia wenyewe na siyo kuwabebesha wengine majukumu yasiyowahusu.
kweli kabisa inachosha sana akili mara moja 2,3 sawa lakini sio kila mara..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom