Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wengine hatujafikiria hata habari ya kuoa na isotoshe hatuna mpangoMi sijaiona kama ni kero maana yangu watu walitoa
Hongera sanaMi sijaiona kama ni kero maana yangu watu walitoa
utazini hadi liniMkuu wengine hatujafikiria hata habari ya kuoa na isotoshe hatuna mpango
Ajabu ni pale unapomweleza ukweli kuhusu hali yako anakugeuza aduiTuache utani jmn michanho inakera asee mi harusi yng nshapanga ctaki mchango wa mtu ntaangalia nna kiasi gani benki ndio ntajua nifanye sherehe au nipige kmyaya!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sawa tumekuelewa ila huu ubabe wa kujifanya huchangii harusi usituambie sisi kwani hatukujui,mfanyie huo ubabe aliekwambia umchangie,hapo tutadhihirisha kweli wewe kidume...
Binadamu wengine sio waelewa kabisa,yani mtu kila baada ya mwezi anakuletea card ya mchango mara huyu mtoto wa mjomba,mara washangazi,mara mtoto ninaemlea,mara mtoto wa X wangu,mkapa unajiuliza huyu anapata wapi hela zakufanya harusi? mwisho wa siku usipotoa ana kununia au anasema ivi kweli yule anakosa laki moja ya mchango au anajitia ufukara asokua nao?
kweli kabisa inachosha sana akili mara moja 2,3 sawa lakini sio kila mara..Watu wengine UELEWA wao ni finyu sana. Dawa yao ni kuminya tu na kukaa kimya kuhusu maombi yao ya michango. Wafanye harusi wanazoweza kugharamia wenyewe na siyo kuwabebesha wengine majukumu yasiyowahusu.