Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

Nikero kubwa lakini maisha ya kiafrica ndivyoyalivyo tunachanga maana leo kwangu kesho kwako.
 
Wewe huwa unaomba michango kwa wenzako?
Kuna watu huona raha kusambaza kadi za kuomba michango lakini huona tabu kurudishiwa fadhila
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Yaaani mda so mrefu imeingia sms ya kukumbushwa mchango
Jamani wanajamvini, imenibidi tu nije nitoe dukuduku langu huku jamii forum, kiukweli kuna huu mtindo wa kufunga ndoa ambapo huwa unaambatana na sherehe kubwa inayogharamiwa na michango ya hiari toka kwa ndugu na marafiki. Huu utaratibu umekuwa ukiathiri watu mbalimbali kiuchumi nikiwemo mimi, ambapo unakuta mtu kila mwezi unapata kadi c chini ya 6, na kila moja ni 50 elfu kwenda juu, hii inatokana na jamii ya kijamaa tuliyonayo watanzania ambapo tunakuwa na ukaribu na wetu wengi.
Kiukweli nimechanga nimechoka, na ninaomba tu litoke tamko kuwa kila mtu anaetaka kuoa basi agaramie harusi yake. Mana imekuwa kero. Unachopata kidogo wanataka uwape halaf wewe hufaidiki na kitu chochote yani ni kama umetupa hela. Huu utaratibu kwa nchi za wenzetu hamna. Wao wanachofanya ni kuchanga tu kizawadi tena co lazma.

Kwa usawa huu maisha magumu halaf unakuja kutuomba tukupe ela ukanunue mwanamke(kuoa) hapana . Watanzania tubadilike.

Mtu kodi sijalipa. Nadaiwa mikopo na wewe eti unakuja nataka kuoa unichangie mfyuuuuuuuuu matulu yako
 
Kwani umelazimishwa mkuu!??
 
Habari wanajamvi,
Kuna tabia imezuka kwa wadada au wakaka wanaotarajia kuoa na kuolewa kudai michango ya sherehe zao bila hata maelezo.

Yani unakuta msg inaingia direct unaombwa mchango; hakuna salamu wala maelezo ya awali. Utakuta mtu mwingine ulisomaga nae chekechea hata hujui namba katoa wapi anaanza tu kudai mchango bila hata salamu dah.

Hii tabia inaboa sana, kuweni na hekima kidogo, salimia then elezea shida yako na hii tabia ya ndoa za kislamu kuanza kukomplicate kama wakilistu pia inaboa. Mtu anaitwa Ashura sijui Juma nae anakimbilia kuomba mchango, inahusu?

Kuoa uoe wewe hela ya sherehe nitoe mie how come? Halafu unaenda kwenye pati unakuta hakuna mvinyo ni soda na zile juisi zao. Yani huwa nawaza hela nitoe mie halafu napangiwa cha kunywa eti kisa mwenye sherehe ni mpendwa basi ungeomba mchango kwa wapendwa wenzako tu.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usichange tu. Mfano mm sitoi michango hivyo hivyo nikioa sitegemei kuomba hela hata kwa mzazi wangu wanisaidie. Show yote nitamaliza mwenyewe.
 
Habari wanajamvi,
Kuna tabia imezuka kwa wadada au wakaka wanaotarajia kuoa na kuolewa kudai michango ya sherehe zao bila hata maelezo.
Yani unakuta msg inaingia direct unaombwa mchango; hakuna salamu wala maelezo ya awali..utakuta mtu mwingine ulizomaga nae chekechea hata hujui namba katoa wapi anaanza tu kudai mchangi bila hata salamu dah.
Hii tabia inaboa sana..kueni na hekima kidogo , salimia , then elezea shida yako..na hii tabia ya ndoa za kislamu kuanza kukomplicate kama wakilistu pia inaboa..mtu anaitwa ashura sijui juma nae anakimbilia kuomba mchango inahusu..
Kuoa uoe wewe ela ya sherehe nioe mie how come...alafu unaenda kwenye pati unakuta hakuna mvinyo ni soda na zile juisi zao..yani huwa nawaza ela nitoe mie alafu napangiwa cha kunywa eti kisa mwenye sherehe ni mpendwa basi ungeomba mchango kwa wapendwa wenzako tu.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka point yako unaelezea nn!! hupendi kuchangia harusi au hupendi kuchangia waislam?? kama unaona mtu amekutumia msg na huna pesa za kumchangia, unamwambia tu bro, hiyo sio court order lazima uitekeleze!! acha uswahili mkuu!! wenzako ambao wanacho watatoa!!
 
Wewe ndio hujaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio hujaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway hata kama sijaelewa point yako, lakini hiyo michango ya Harusi unayolalamikia, hujalazimishwa kutoa kama unacho unatoa huna unasema sina,,acha kulalamika JF, mimi binafsi nina kadi kama 5 na hua nachanga tu sioni cha ajabu, huo ni utamaduni mojawapo wa kujenga undugu na mshikamano kama ambavyo misiba coz harusi ni jambo la heri sio dhambi!!
 
si ungemwambia aliyekutumia sms kuwa humchangii kuliko kuja kulalama hapa jf aiseee hahahaaaaa
umeonaaa enheee!!! usikute yeye alichangiwa sasa wenzake wamemletea kadi anaona kero!!! hahahahha
 
Back
Top Bottom