Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona ehee kwa vile wao waliishachangisha watu sasa hivi ndio wanaona kero, halafu cha kushangaza zaidi kuna wengine humu humu unawasikia wanasema michango ya harusi inakera kweli lakini bado wanaenda kuchangano acheni tuolewe kwanza ndo mlete hizi mada zenu hapa!!
Si ndo hapo kiongozi, ni unafiki tu hakuna kingine!Tatizo Watanzania wanafiki, kwani ni nani anaekulazimisha kuchangia harusi mpaka ulalamike unashindwa ku- save katika account yako! Suala ni kwamba, kama kweli michango inatukera kama tuanavyosema, na tuache kuchangia! Nawahakikishia kama tutafanya hivyo, michango ya harusi itapotea yenyewe. TUACHE KULALAMIKA KAMA KAWAIDA YETU NA TUCHUKUE HATUA! HII INAPASWA KUANZA NA WEWE!!
Yani hilo ndo tatizo, inakuwa ngumu kufanya jambo lolote. Mtu unakuta upo bize na michango ya harusi, unacompromise hata na mahitaji ya msingi ya familia. na mbaya zaidi wanaweka viwango vya chini vikubwa mno!!
Ndugu JF hebu tujadili ni kwa namna gani tunaweza tukaliokoa taifa letu kutoka kwenye hiki kitanzi.
katika kumbukumbu zangu mimi Harusi mtu ulikuwa unafanya kwa uwezo wako... unaita marafiki zako na ndugu mnasherekea hicho kilichopo.
Sasa mtu anakuletea Kadi tena ina kiwango.... na Watu hawakuchangii sababu wanakupenda ni kama wanakukopesha kwamba na wao siku yao ikifika na wewe utachanga...
Michango Inafika mpaka mamilioni ya pesa.... watu wanakuja wanakunywa na kula.. wewe na mwenza wako mnaenda kuanza maisha (wengine hata nyumba hamna) na deni la watu kama mia moja waliokuchangia ambao na wewe inabidi uwachangie....
HIVI NI MIMI TU NINAYEONA KUWA HUU NI UPUUZI NA UJINGA... AU KUNA YEYOTE ANAYENIUNGA MKONO.....
Tatizo Watanzania wanafiki, kwani ni nani anaekulazimisha kuchangia harusi mpaka ulalamike unashindwa ku- save katika account yako! Suala ni kwamba, kama kweli michango inatukera kama tuanavyosema, na tuache kuchangia! Nawahakikishia kama tutafanya hivyo, michango ya harusi itapotea yenyewe. TUACHE KULALAMIKA KAMA KAWAIDA YETU NA TUCHUKUE HATUA! HII INAPASWA KUANZA NA WEWE!!
katika kumbukumbu zangu mimi Harusi mtu ulikuwa unafanya kwa uwezo wako... unaita marafiki zako na ndugu mnasherekea hicho kilichopo.
Sasa mtu anakuletea Kadi tena ina kiwango.... na Watu hawakuchangii sababu wanakupenda ni kama wanakukopesha kwamba na wao siku yao ikifika na wewe utachanga...
Michango Inafika mpaka mamilioni ya pesa.... watu wanakuja wanakunywa na kula.. wewe na mwenza wako mnaenda kuanza maisha (wengine hata nyumba hamna) na deni la watu kama mia moja waliokuchangia ambao na wewe inabidi uwachangie....
HIVI NI MIMI TU NINAYEONA KUWA HUU NI UPUUZI NA UJINGA... AU KUNA YEYOTE ANAYENIUNGA MKONO.....
Vyote hivi vimeanzia kwetu huku uchagani,ukijidai una fedha zako ukagoma kuwachangisha basi unasusiwa harusi.
Inashangaza mzaramo alipokuwa anatepembea kwa mdundiko alionekana mshamba wakati leo hii kuna matarumbeta yanayopiga style ile ile.
Mimi huwa sichangi na kwenye harusi yangu sitachangisha.
Naunga mkono hoja.
Mura umeisoma vizuri hiyo post unayojaribu kujibu hapa??? Amesema utakuta hana uwezo wa kuweka laki kwenye account yake lkn akishindwa kuchangia analaumiwa! Sasa wewe jiulize ni sahihi kumlaumu mtu anayeshindwa kuchanga kwa sababu ya kipato chake kidogo? Huna hata laki kwenye account halafu kadi inakudai elfu hamsini. Soma vizuri usijibu kama umurisya!!Tatizo Watanzania wanafiki, kwani ni nani anaekulazimisha kuchangia harusi mpaka ulalamike unashindwa ku- save katika account yako! Suala ni kwamba, kama kweli michango inatukera kama tuanavyosema, na tuache kuchangia! Nawahakikishia kama tutafanya hivyo, michango ya harusi itapotea yenyewe. TUACHE KULALAMIKA KAMA KAWAIDA YETU NA TUCHUKUE HATUA! HII INAPASWA KUANZA NA WEWE!!