Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame


Je hizo points zako zinafanya alichoandika kuwa ni uongo? Nafikiri jamaa amekuja na evidence nyingi. Ni vyema basi ukashawishi uongo wa huyo Marara angalau kwa kutupa ukweli mbadala wa hicho alichaandika. Matukio aliyoaanisha Marara ni mengi, hebu tupo story ya uoande wa pili mkuu otherwise tutamuamini Marara
 
Mi ngoja nisubiri Kabumbu la ukweli Barcelona tukimgaragaza Man U mara nyingine. Nadhani kipa wa Man U atakuwa nyota wa game.

Kitabu naweka juu ya kabat

Ova and out


Sent using Jamii Forums mobile app
 
For sure bado Nina Imani na TISS na JWTZ

UTAMU WA NGOMA,INGIA NDANI
UKIWA NJE,HUWEZI ELEWA KITU

Sent using Jamii Forums mobile app
mh labda TISS ya zamani sasa hivi kila idara serikalini inamsikiliza mtu mmoja,wangekuwa wanafanya kazi yao kimakini wasimgemruhusu jamaa kumkumbatia kagame kichwakichwa hivi ,najiskia hadi kutapika nikikumbuka alivyosema ataleta vijana wa Rwanda wa IT kwa ajili ya ATCL
 
Acheni propaganda mna uhakika kilichoandikwa humo ni ukweli???
Hamna tofauti na wapiga kahawa wa kijiweni jamaa kama ana uhakika kagame kaua watu wote hao si ampeleke mahakamani??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kama vipi nikutumie namba yangu WhatsApp uniwekee maana hata hiki sichoki kukirudia hasa namna alivyomua yule dada Grace pamoja na kwamba alimtupia mtoni akakwama kwenye miti na kuokolewa na wanazengo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
 
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
 
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
 
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
 
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
 
Nahitaji copy ya hiki kitabu, napataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…