Zatara
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 716
- 511
Hivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je hizo points zako zinafanya alichoandika kuwa ni uongo? Nafikiri jamaa amekuja na evidence nyingi. Ni vyema basi ukashawishi uongo wa huyo Marara angalau kwa kutupa ukweli mbadala wa hicho alichaandika. Matukio aliyoaanisha Marara ni mengi, hebu tupo story ya uoande wa pili mkuu otherwise tutamuamini Marara