Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

ya wanyarwanda hayatuhusu,tupo concerned na kile anachokitafuta Tanzania,atuondolee u shetani wake,askari wetu siku hizi congo wanakufa hovyohovyo kama sio majshi yake ni nani tena?
 
Wewe utakuwa shushushu wa kagame haya nenda kamuambie ulichokikuta humu JF ulinde ugali wako haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kikwete pia alimtunishia msuli. Ila hawezi kuja na hoja nyepesi nyepesi kwa magu. Atamaliza
 
Mpumbavu huyo achananae mkuu kuna watu wanavichwa vigumu sana vya uelewa huenda hata darasani walikuwa ni zero zero tu.....hawaamini kwa kusikia mpaka waona katika iman tunaamini yupo mungu lakini hatujawahi kumuona kwa macho lakini imani yetu imejaa kwake maradufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusemaje.... Kagame ananyoosha nchi kama Gadafi eti ...
 
Kwani kakulazimisha usome?, Acha shobo utabongolewa marinda hayo!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo fala na jamaa mwingine kabare sijui mafala sana, wana shobo za kijinga. Eti Wanyarwanda hizi nondo hawasomi eti hawajui kiswahili wakati watu kibao wamezaliwa nyarugusu.

Mwambieni basi azime mtandao Rwanda yote Kim Jong Un atamsaidia hiyo Kazi ka inchi kadogo kale, halafu wote tulio comment hapa wapigwe na wote wenye negative thoughts kwa PK wawe eliminated mara moja

Nadhani kuna wachumia tumbo kwenye uzi huu wanataka kutuambia eti rwanda ni bustani ya edeni sasa tunaona wivu sisi mashetani ha ha ha.

Dunia imebadilika wajomba the cat is out of the bag, nondo kibao tutasoma.l,

Huyu PK anafanana na yule jamaa wa Gambia aliyekuwa anavaa nguo nyeupeee na Quran mkononi yeye mwenyewe alikuwa mweusi tiiii. Alisema aligundua dawa ya HIV. Siku alipokimbia nchi alipitia benk kwanza ha ha ha

Halafu wajinga wote waliokuwa wanamsifia yule aliyetimka wakabadili gia juu kwa juu.

Hawa jamaa mwisho wao ovyo sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sasa yanatokea huku kuna kundi linaamini jiwe ni mungu mtu baadhi ya wabunge wameanza kampeni ya kumuongezea muda wanaopinga wanaitwa wasaliti jamaa anaiga mambo ya rwanda watanzania tuwe macho hapa sasa kuna funzo picha limeanza kuja
Mkuu umepotea sana, vipi kazi zimekuwa nyingi? Nilizoea kuona michango yako mingi, siku hizi imepungua sana. Kilangila.
 
Stori hizi zilianza zamani, wengi tumeshazizoea! tatizo wanaoanzisha hizi threads ukiongea tofauti namafikilio yao basi wataishia kukutukana tuu hhhaa!
 
Hata biblia ni kitabu cha zamani mjomba kama sio za kweli mwaga nondo zako na wewe acha sisi tuchambue mchele. Nondo kwa Nondo nyambaf, sio kulia lia ohh mwongo hajasoma alikuwa junior officer.deteva wa Tank.

Vinginevyo kitumbua chako kwa PK kimevunda, pale " bamisa House" PK anataka wachapa kazi.

HA ha ha PK noma sana, eti aliwaamuru maafande fulani kumgegeda mtungo dada moja.



Stori hizi zilianza zamani, wengi tumeshazizoea! tatizo wanaoanzisha hizi threads ukiongea tofauti namafikilio yao basi wataishia kukutukana tuu hhhaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…