Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maslahi gani tunayopata kutoka Rwanda?Urafiki wa Kagame na Tz ni wa kimaslahi tu. Once that is accomplished, they can do anything to him. Tz will not intervene, like we always do.
Sent using Jamii Forums mobile app
ya wanyarwanda hayatuhusu,tupo concerned na kile anachokitafuta Tanzania,atuondolee u shetani wake,askari wetu siku hizi congo wanakufa hovyohovyo kama sio majshi yake ni nani tena?Kuna Genocidals humu yaani hawatulii bila kuleta negative threads za Kagame na Rwanda.
Ukisoma threads humu JF utasema Rwanda hakukaliki kumbe stori zinaishia humu humu...uzuri wanyarwanda wengi JF hata hawaifahamu na kiswahili hawaelewi hivyo kelele zote hizi hazina impact yoyote kwa wahusika..
Unadhani adui ataandika nini zaidi ya kutunga hadithi!!
Hiki kitabu pamoja na vingine havina ukweli wowote ni propaganda za maadui wa Kagame..
Tusaidie link tudownload hicho kitabuView attachment 1073689View attachment 1073690hawa nao wanadanganya?
Wewe utakuwa shushushu wa kagame haya nenda kamuambie ulichokikuta humu JF ulinde ugali wako harakaHivi kabla hamjaanza kushangilia yaliomo kwenye hicho kitabu mnamjua aliekiandika ni nani kwanza? Huyo jama Marara kweli alikua kati kikosi cha kumlinda raisi na alikua dereva katika miaka hio ya mwishoni 90's alikua anaendesha vifaru walivhoachiwa na UN kwa ajili ya usalama wa viongozi. Kwa vile alikua uneducated young man hakua anakaa na senior officers mpaka ahadisiwe kinachoendelea. Alitimuliwa jeshini na kukimbia nchi na huko ulaya aliko anatafuta attention tu watu kwani ameshakosana na aliokimbia nao wengi huko ughaibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kikwete pia alimtunishia msuli. Ila hawezi kuja na hoja nyepesi nyepesi kwa magu. AtamalizaMi nikawa nashangaa mbona kama kagame anapagawa mara agombane na burundi sijui wafungiane mipaka mara agombane na museven kumbe anajua soon jamaa wana m fix da ila kaua sana rafiki zake ngoja akipate cha moto alafu wapinzani naona wameungana saizi wanashuka nae jumla jumla in Mwanri voice
Mpumbavu huyo achananae mkuu kuna watu wanavichwa vigumu sana vya uelewa huenda hata darasani walikuwa ni zero zero tu.....hawaamini kwa kusikia mpaka waona katika iman tunaamini yupo mungu lakini hatujawahi kumuona kwa macho lakini imani yetu imejaa kwake maradufuIla huenda maana hata aliyetuumba nae huenda ikawa propaganda maana hatumuoni, au baba yako nae ni propaganda maana unauhakika gani kama ni baba yako? Au hata mwanao pia huenda akawa propaganda, wakati mwingine tuwe tunawaza vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusemaje.... Kagame ananyoosha nchi kama Gadafi eti ...Mkuu mleta uzi ni muhimu kusoma hicho kitabu ukiwa na Akiba ya jicho la tatu. Haifai kuweka hapa maandishi na simulizi na madai ya huyo mwandishi ukasema ndio ukweli na kuanza kumhukumu Kagame. Tungepata vitabu kadhaa vya pande mbili au hata pande 3 tujue ukweli umelala wapi. Lakini kumsikiliza huyu bodyguard mmoja sikubaliani nayo kabisa. Hata mimi nitakitafuta kitabu hiki nikisome na kuendelea kufanya utafiti Zaidi kuhusu Kagame, lakini ukweli ni kwamba kwenye kuongoza haswa unapotaka kuweka mambo sawa hutakosa maadui huo ndio ukweli. Kuna mengi mazuri na mabaya mengi tunasikia kuhusu Kagame lakini pia tunasikia Rwanda inaendelea vizuri sana kiuchumi sasa labda Wanyarwanda watuambie kama Kagame amesaidia nchi au la. Kwenye kuongoza nchi na kuleta mabadiriko ya jamaa mengi sana mabaya hupitiwa hakuna taifa lilifanikiwa duniani bila kupita kwenye wakati ambao sio wa kujivunia soma nchi za Ulaya, Marekani, Asia wenzetu walipita vipindi vibaya sana lakini leo wako wapi…? Hebu tuwe na akili ya mtu mzima.
Kwani kakulazimisha usome?, Acha shobo utabongolewa marinda hayo!!Nimeyasema humu ndani kua mwandishi katika baadhi ya mambo ametia chumvi watu wakaanza kuniuliza kama mimi ni mhutu au mtusi? Mimi sio mnyarwanda lakini namjua huyu mwandishi. Kwanza tukumbuke ana miaka 19 hajakanyaga Rwanda, lakini ameachambua mambo yaliotokea huko baada ya yeye kutoroka nchi as if alikuepo. Ni vizuri pia kutomfanya kua only our reliable source ya yaliotokea. Katika kitabu chake hakuna mahali aiposema kua kuna hata operation moja aliohusika/shiriki. Za kuambiwa......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado una matumaini na Idara??? the comoromised IDARA. unapoteza muda wako.Habari Nzuri Sana.
Mwisho wa hawa watu,huwa Ni Mbaya SANAA
LAKINI na Hakika Tz,Tuna la Kujifunza LAKINI pia,
Idara yetu ipo njema na sidhani Kama Jiwe ataweza kushikwa masikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaanisha ni shetaniMbona picha ya Kagame kwenye Cover page ya kitabu ina mapembe? Maana yake nini wajuvi wa mambo, mwandishi anaportrait (anaonyesha) nini kuhusu Kagame kupitia hizo pembe? Kwa kweli sijaelewa bado?
Mkuu umepotea sana, vipi kazi zimekuwa nyingi? Nilizoea kuona michango yako mingi, siku hizi imepungua sana. Kilangila.Hapa sasa yanatokea huku kuna kundi linaamini jiwe ni mungu mtu baadhi ya wabunge wameanza kampeni ya kumuongezea muda wanaopinga wanaitwa wasaliti jamaa anaiga mambo ya rwanda watanzania tuwe macho hapa sasa kuna funzo picha limeanza kuja
Stori hizi zilianza zamani, wengi tumeshazizoea! tatizo wanaoanzisha hizi threads ukiongea tofauti namafikilio yao basi wataishia kukutukana tuu hhhaa!
Samahani mkuu naomba uweke uweke link ili niweze kusoma au kukipakua!
Sent using Jamii Forums mobile app
For sure bado Nina Imani na TISS na JWTZMkuu bado una matumaini na Idara??? the comoromised IDARA. unapoteza muda wako.