Dear kwani kuna dini inayoitwa mpe Yesu maisha yako? Mbona hilo ni tendo ama umeshawahi sikia kuna dini kama hiyo? We mwenzangu unadini mimi sina dini wala si amini katika yoyote ile maana hakuna iliyowahi kunisaidia na wala haitakuwepo kwani nimapata kweli nayo imeniweka huru....Imani yangu ni kwa Yesu kwamba alikuja kwa jina linaitwa Imanuel yaani Mungu pamoja nasi alipokufa na kufufuka akapewa Jina jipya lipitalo yote yaani Yesu Kristo na kwamba yeye ndiyo njia kweli na uzima wengine wote ni matapeli na akanionya nikiwaamini laana yake inakuwa juu yangu. Akaniambia nakupa msaidiza yale yote niliyokufundisha na ambayo sijakufundisha atakueleza. Akanipa na alama ya utambuzi huyu msaidizi akija ndani yangu kwamba nitanena kwa luga ambayo pass word ninayo mm na yeye tu, nikiwekea mikono wagonjwa watapona na ikitokea nikanywa kitu chenye sumu bila kujua sinta pata madhara yeyote hiyo ni pamoja na mbu wakining'ata malaria inakufa ndani kwa ndani, damu yangu ikigusa UKIMWI bila kuvunja amri yake unatimua mbio kabla sijagundua kama umeingia mwili; kansa ikijaribu kuleta umbea inapigwa na radi...To be frank I am enjoying all these for the past seven years hata panadol sikumbuki ladha yake; mtoto wa mwisho nilijifungua kama mwanamke wa kiebrania bila labour pain manesi na madaktari waka panic kwa hofu, mchawi akinikaribia yeye mwenyewe anaanza kujieleza kabla ya mimi kuongea etc basi nikagundua kumbe wenye dini wanatutapeli tu, maana nimekaa kwenye dini for 28 years bado the devil was kicking me left and right like its toy. Dear you can enjoy heaven on earth kwa garama tu ya kuutafuta ukweli diligently with a humble heart that you listen to all and make your own experiments to proove if it works....