Leo usiku , crew ya Jamiiforums, Arusha-Wing INATARAJIWA KUONDOKA KWENDA LOLIONDO, ambapo pamoja na kuleta habari kwa marefu na mapana,zikiambatanishwa na picha, pia TUTAKUNYWA DAWA HIYO, kuondoa magonjwa yote ya KURITHI miilini...
Watakaokuwa tayari, gari itaondoka saa 6.00kamili USIKU, na bei ni 70,000.
Kuna Toyota Landcruiser Long-base ya ukweli!
Wasilisha maombi yako fasta.
Nitumie PM tuingie kwenye serious business!
UPDATE:
NIMEPATA taarifa sasa hivi toka mtu aliyeko mto wa Mbu, na mwingine amerudi sasa hivi toka huko, anasema ukienda siku ya leo(IJUMAA), TEGEMEA KUKAA SIKU TATU, HIVYO UTARUDI JUMATATU, au j4..
Hali ya UMATI IMEKUWA MBAYA SANA HUKO, NA INABIDI KUBEBA VYAKULA VYa kutosha, na hakuna maduka wala grocery jirani!..Hata kulala ni chini ya miti!
Kwa taarifa hiyo, inabidi tufikirie upya wazo hili...Tunaomba ushauri wenu zaidi!