Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mungu ni Mkubwa na kweli ni maajabu. Jamaa zangu wengi tu waliougua sukari zaidi ya miaka hata kumi wamepona . Waliosahau lager wengine jana tulikuwa nao maeneo ya Mbauda tukipata ulabu na kusakakata rumba ile mbaua. Huwezi amini
 
Mungu ni Mkubwa na kweli ni maajabu. Jamaa zangu wengi tu waliougua sukari zaidi ya miaka hata kumi wamepona . Waliosahau lager wengine jana tulikuwa nao maeneo ya Mbauda tukipata ulabu na kusakakata rumba ile mbaua. Huweiz amini

kuna mama moja alikuwa haruhusiwi kunywa soda, aliporudi tu advertise kuwa amepona aligonga coke nne!!!! kweli Mungu ni Mkubwa
 
lakini mkuu wajenge kweli lami kwa ajili ya mchungaji mmoja wakati sasa hivi wanatakiwa kutafuta hela ya mafuta mitambo ya iptl iwashwe watanzania wengi wapate umeme.
labda tuangalie, ni watanzania wangapi wagonjwa wanaohitaji huduma ya mchg yule, na wangapi wanahitaji umeme kwa sasa hivi, tukiona wagonjwa ni idadi kubwa nitakuunga mkono. hebu tuangalie priorities kwanza.
naomba kuwakilisha my two cents.
 
Leo usiku , crew ya Jamiiforums, Arusha-Wing INATARAJIWA KUONDOKA KWENDA LOLIONDO, ambapo pamoja na kuleta habari kwa marefu na mapana,zikiambatanishwa na picha, pia TUTAKUNYWA DAWA HIYO, kuondoa magonjwa yote ya KURITHI miilini...

Watakaokuwa tayari, gari itaondoka saa 6.00kamili USIKU, na bei ni 70,000.
Kuna Toyota Landcruiser Long-base ya ukweli!
Wasilisha maombi yako fasta.
Nitumie PM tuingie kwenye serious business!

UPDATE:

NIMEPATA taarifa sasa hivi toka mtu aliyeko mto wa Mbu, na mwingine amerudi sasa hivi toka huko, anasema ukienda siku ya leo(IJUMAA), TEGEMEA KUKAA SIKU TATU, HIVYO UTARUDI JUMATATU, au j4..

Hali ya UMATI IMEKUWA MBAYA SANA HUKO, NA INABIDI KUBEBA VYAKULA VYa kutosha, na hakuna maduka wala grocery jirani!..Hata kulala ni chini ya miti!

Kwa taarifa hiyo, inabidi tufikirie upya wazo hili...Tunaomba ushauri wenu zaidi!
 
I wish ningekuwa Mkazi wa Arusha, I wish you all the best
 
Safari Njema Kaka mfike salama na kurudi.

Ila kitu kimoja bebeni chagula na maji ya kutosha sasa hivi kuna watu wengi na ina weza ikawabidi kusubiri siku hata mbili. Na kitu kingine Babu hafanyi kazi Jumapili.

Tulete matokeo mkirudi...
 
I wish ningekuwa Mkazi wa Arusha, I wish you all the best
Mkuu, kwa hali iliyopo huku Arusha tumeona isiwe jambo la kusimuliwa...

Kama watu wanaponywa kwanini sisi tufanye maringo?
 
babu yangu alikua na kisukari kapona, alikua haoni wala hasikii tena na kila mara alikua anakojoa, but the next day anarudi kutoka loliondo akawa fresh kabisa, ukiongea nae kwa simu anaongea fresh na kaanza shughuli zake kama kawaida, analima na kukatia mbuzi majani tofauti na zamani ambapo alikua analala tu ndani. so if you have that problem you better go ila uwe na imani pia sio unaenda kum-Beep.
 
Safari Njema Kaka mfike salama na kurudi.

Ila kitu kimoja bebeni chagula na maji ya kutosha sasa hivi kuna watu wengi na ina weza ikawabidi kusubiri siku hata mbili. Na kitu kingine Babu hafanyi kazi Jumapili.

Tulete matokeo mkirudi...
Du...hiyo kali !
Tutabeba kila kiwezekanacho:A S 13::A S 13:

Kwa hali yoyote tuko tayari kupiga kambi huko kwa muda wowote..
Ulienda nini Loner?
Mbona hukutujulisha?
 
Hatutaki kila siku watu wanahadisia mambo ya kusikia, tunataka kuona wenyewe na tutairusha laivu hapa kama mawasiliano yatakuwa mazuri huko. Gari inachukua watu nane, wanaotaka kuungana nasi wa PM kwa PJ ili tufanye arrangement mapema iwezekanavyo.
Tungependa sana gari yetu ijae ujumbe wa JF, lakini kama idadi haitatosha itabidi tushirikishe raia wengine.
 
Ningeungana nanyi ila nipo duty fulani kesho hapo Mirerani... anyway Kila la heri JF Arusha Wing!!!
 
Mkuu mkirejea mtujuvye sasa naona Tanzania nzima na East Afrika itapiga kambi hapo Loliondo. Km ni kweli, basi Mungu anamaajabu makubwa.

Nadhani hata wamarekani watakuja, na bei ya 500 kwa dozi ukizidisha mara watu milioni moja 500X1,000,000= 500,000,000 milioni mia tano km sijakosea si haba.

mungu amlinde huyu mtu wasije wakamfanyia mizengwe watu wabaya.
 
PM zimeanza kuflow kwa kasi...

Nina mashaka huenda tukalazimika kutafuta Long-base ya pili!...how good!
SaharaVoice, kaa mkao wa kuongea tena na huyo jamaa!
 
nakubaliana na wewe mkuu ila wagonjwa ni wengi...inaonesha wagonjwa wa ukimwi TZ ni 7% wewe huoni nguvu kazi kubwa sana hiyo??? na bado wanaendeleza kusambaza, kisukari ndo usiseme, presha? pumu?
Au kama haiwezekani wapitishe greda kama alivyoshauri cabhatica, inasemekana ofisi nyingi na magari mengi ya wizara na serikali yamehamia loliondo mkuu.
Anyway, tusikilize na maoni ya WaJF wengine
https://www.jamiiforums.com/members/cabhatica.html
 
PM zimeanza kuflow kwa kasi...

Nina mashaka huenda tukalazimika kutafuta Long-base ya pili!...how good!
SaharaVoice, kaa mkao wa kuongea tena na huyo jamaa!

Good Coordination. Keep it up man!!!
 
Back
Top Bottom