Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 41
kwani ukitoa dawa lazima uitwe Dr?
Huyo babu wa loliondo sijasikia wakimwita /kuitwa Dr... Hayo makubwa.
Huyo babu wa loliondo sijasikia wakimwita /kuitwa Dr... Hayo makubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu niwaellyester jibu ntakupa laikini kabla sjakupa nkuulize swali...Kibwetere alikuwa mganga mchungaji??? n jibu kwandha thwali langu
ufahamu kwamba hyu ametumia nguvu ya yesu kristo hivyo amepona kwa nguvu na imani ya kristo.nimeambiwa ukipona unapaswa kutoa sadaka pale unapoabudu ie. Umrudie Mungu wako umjuae.
Serikali imetuma wataalamu kuchukua vielelezo (sample) vya watu wanaodaiwa kutibiwa ugonjwa wa ukimwi na Mchungaji Ambilikile, mnyakyusa huyu, kwa uthibitisho.
Hii nikufuatia mamia ya watu kumiminika kutoka sehemu mbalimbali kutoka hata nje ya nchi katika kijiji cha Loriondo kupata matibabu kwa Mchungaji huyu. Matibabu ni Tsh. 500 tu.
Leo asubuhi mtaani nimemsikia mtu akisema ndugu yake ametibiwa pia. Let us wait and see.
kwani ukitoa dawa lazima uitwe Dr?
Huyo babu wa loliondo sijasikia wakimwita /kuitwa Dr... Hayo makubwa.
mganga ni mungu huyu ni mchungaji wa kkt na wala si askofu ametumiwa na mungu kuponya na anongozwa na roho.
Kweli kabisa huyu bau wala hajiiti Dr. yeye title ta Babu karidhika nayo na watu wanapona.
ndodi asijaribu kushindana na babu kwa heshima zake yeye aendelee kivyake na asilalie nyota ya mwenzake. Usafiri saizi kwenda loliondo tsh 80,000.00 kwa basi na tshs 100,000.00 - 150,000.00 kwa cruseir. Mbona dr. Ndodi alikuwepo toka zamani na hatujasikia kuwa kafurisha watu kama babu tena kwenda dsm ni lami kwa babu barabara mbaya.
Ndodi acha mchezo.
Huwez kumshitaki?ndodi msanii sana, kanipa dawa ya kuondoa kitambi kumbe kaponda ponda vitunguu swaumu na adala sini, sasa tumbo hiloo utazani nanyea humuhumu. Ulia bei sasa laki 3