Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

kwani ukitoa dawa lazima uitwe Dr?
Huyo babu wa loliondo sijasikia wakimwita /kuitwa Dr... Hayo makubwa.
 
Mkuu niwaellyester jibu ntakupa laikini kabla sjakupa nkuulize swali...Kibwetere alikuwa mganga mchungaji??? n jibu kwandha thwali langu

mganga ni mungu huyu ni mchungaji wa kkt na wala si askofu ametumiwa na mungu kuponya na anongozwa na roho.
 
Serikali imetuma wataalamu kuchukua vielelezo (sample) vya watu wanaodaiwa kutibiwa ugonjwa wa ukimwi na Mchungaji Ambilikile, mnyakyusa huyu, kwa uthibitisho.

Hii nikufuatia mamia ya watu kumiminika kutoka sehemu mbalimbali kutoka hata nje ya nchi katika kijiji cha Loriondo kupata matibabu kwa Mchungaji huyu. Matibabu ni Tsh. 500 tu.

Leo asubuhi mtaani nimemsikia mtu akisema ndugu yake ametibiwa pia. Let us wait and see.

Loriondo = Ngorongoro = ?
 
kwani ukitoa dawa lazima uitwe Dr?
Huyo babu wa loliondo sijasikia wakimwita /kuitwa Dr... Hayo makubwa.

Kweli kabisa huyu bau wala hajiiti Dr. yeye title ta Babu karidhika nayo na watu wanapona.
 
mganga ni mungu huyu ni mchungaji wa kkt na wala si askofu ametumiwa na mungu kuponya na anongozwa na roho.

Kibwetere aliwaambia-ga wafuasi wake yeye(Kibwetere) alikuwa nani? mchungajiii au shetani?
 
ndodi msanii sana, kanipa dawa ya kuondoa kitambi kumbe kaponda ponda vitunguu swaumu na adala sini, sasa tumbo hiloo utazani nanyea humuhumu. Ulia bei sasa laki 3
 
Ndodi asijaribu kushindana na babu kwa heshima zake yeye aendelee kivyake na asilalie nyota ya mwenzake. Usafiri saizi kwenda Loliondo Tsh 80,000.00 kwa basi na Tshs 100,000.00 - 150,000.00 kwa Cruseir. Mbona Dr. Ndodi alikuwepo toka zamani na hatujasikia kuwa kafurisha watu kama babu tena kwenda Dsm ni lami kwa babu barabara mbaya.
Ndodi acha mchezo.
 
ndodi anadandia umaarufu wa babu ..... amejitangaza kwenye TV mpaka amechoka na kulala mahoteli makubwa...mwenzake yupo porini na hazungumzi sana ni kukupa dawa kwenye kikombe tu inatosha
 
anataka kujiaibisha wataanza kumsema babu vbaya ukweli utabaki pale pale yy ndodi yupo kibiashara
 
Kweli kabisa huyu bau wala hajiiti Dr. yeye title ta Babu karidhika nayo na watu wanapona.


Na hapa ndio utakapoujuwa unafki wa maprofesa wa vyuo vikuu vyetu, badala ya kumtunuku huyu babu Udaktari wa heshima, eti wao wanakwenda kumtunuku Mkwere na MREMA ni vichekesho vya karne.
 
Hawana utaalamu wal vipimo vya kupima, hiyo sampuli itatumwa kwa wahisani wa marekani ili wathibitisha. Pia watatumia iyo advantage kuvuka foleni na wao kuinywa.
 
Ndod usanii umemjaa, anaponikera ni ku2mia jina la mungu kujineemesha.
 
ndodi asijaribu kushindana na babu kwa heshima zake yeye aendelee kivyake na asilalie nyota ya mwenzake. Usafiri saizi kwenda loliondo tsh 80,000.00 kwa basi na tshs 100,000.00 - 150,000.00 kwa cruseir. Mbona dr. Ndodi alikuwepo toka zamani na hatujasikia kuwa kafurisha watu kama babu tena kwenda dsm ni lami kwa babu barabara mbaya.
Ndodi acha mchezo.

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza............maskini huyu babu hata sijui kama alishawahi kuiona tv, achilia mbali kuitumia katika kujitangaza, ......yeye anatangazwa na sisi tunaenda na kurudi...........
 
ndodi msanii sana, kanipa dawa ya kuondoa kitambi kumbe kaponda ponda vitunguu swaumu na adala sini, sasa tumbo hiloo utazani nanyea humuhumu. Ulia bei sasa laki 3
Huwez kumshitaki?
Hata hivyo nakupa hongera ...umeweza kutoa 3hundred,000/- duh!!!
Kwa kitambi tu!
Afadhali uende kwenye Gym.
 
Kweli hizi dini zimekuwa biashara mmmh mpaka ushindani wanaujua....looh
 
huu nao ni ushabiki....huyo Babu amefurahisha wengi hyo ni sifa yake. Hao wengine kwanin muwapandishe sifa ?
Kwani huko Bongo hao wanajulikana....kwa nchi ya Germany Babu angeheshimika zaidi. Ingekua heshima all over the world...Bongo @ wanasema hamna kitu babu!
 
Back
Top Bottom