Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

kundi namba 3 linaweza kuwa na watu wachache lakini likabeba maana nzima yenye uhalisia katika kuleta ukweli wa paradoxy hii...

Katika kuamini uhalisia wa kile kinachodaiwa kuwa ni chanzo cha ulimwengu huu,basi fuatana na mimi hapa chini.....

Nitakusia kidogo but ni hisia zangu na ufahamu wangu...

Kutokana na fundamental laws of nature ,ila watu wachache wanaweza kuwepo kwenye hili kundi..

Kwanza naomba niseme kitu kuwa ,nothing exists from nothing hii ni kwa mujibu wa laws of nature...

(Japo laws of nature are not constant because we can violate them)

There is no spontaneous creation of anything from nothing...!!!!
(According to physical universal laws of nature)

Everything has a source..( St.Aquinas postulates...)

We can not creat a constant from non- mathematical calculation unless it has been assumed ,and mind you that assumed constant never give an absolute answer...
(modern mathematical possibility)

At zero point of creation,there was an energy in a hidden state of non matter that can not be attributed by the present physical laws.....

There must be a constant initial energy from a hidden non- matter state( Vacuum) that resulted into an exprosion of energy that created matter which was set in a continous expansion...

Hiyo nguvu ambayo current Quantum physics kupitia laws zake inashindwa kuielezea pengine niseme hawajashindwa ila ni kutokana na uwezo mdogo wa kugundua hidden forces ila naamini ipo siku kila kitu kitakuwa wazi...

The universe has layers whose driving energy of expansivity rests within........


Physical universe can not tell us the result of Quantitative energy that is a driving force of expansion ,however the fate of the universe landers within the vacuum state in which the antimatter particles that spin under high resolution at Quantam spin na hiyo spining ndo inayosababisha nguvu ya kuespand spacetime hence tunapata matter...


matter is the result of spacetime distortion may be quantum entanglement will make this clearly...

Katika ulimwengu huu kuna matabaka ndani yake ambayo husababisha tabaka jingine( physical universe ) kuzalishwa katika Quantum expansion maalumu.....

Twende taratibu.....

Ni kama kuwa na tunda bila kokwa ndani.....inawezekana???

Ili tunda liendelee kukua lazima kokwa la ndani ambalo ni kama energy reservoir au energy store ya kudrive tunda kuendelea kukua...

Pengine a question can rise, where is a source ya hilo kokwa na energy yake.....???


Lakini kupitia Quantaum physics ya Antimatter zitakazogunduliwa( zimeshaanza kugunduliwa) kwenye vaccum state basi tutakuwa tumejua chanzo cha nguvu hiyo na ndo nguvu iliyosababisha expansion ya utupu huu ambao umeruhusu maisha ya kila kiumbe...


Kama tutaweza kugundua Anti matter ambazo zina properties tofauti na matter basi hilo litakuwa jambo ambalo utakuwa mwanzo wa kuamini kuwa nothing creates something,......

( Remember,Matter inaundwa na atom,ambayo nayo inaundwa na subatomic particles kama Electrons,neutrons na protons...so when we speak about antimatter, means particles with reverse of their particle duality of nature,they are not particles in such kama Louis de Broglie na wengine walivyostate kwenye Quantum scale ya Sunspensive electromagnetic wave form nature ya any subatomic particle,sasa hizi antimatter hazina tabia hizo hence zinaviolate Wave form quantum scale katika duality nature....hapa watu wa physics wanaelewa...[emoji4]


Laws of physics ambazo zinakataa au zinafeli kuelezea kuwa nothing creates something zitakuwa zimefikia mwisho na hapo ndipo tutaweza kutengeneza possibility from impossibility...

Antimatter ni something that is opposite to a real particle..,if a particle is created from antiparticle( something non particle ) hence we can create particles from nothing and that is what the universe was created...

The universe was created from antiparticles ( Antimatter ) contained in the vacuum state that doesnt follow the principle laws of physics...

Je ! Antiparticle zinawezaje kuswitch automatic expansion???

Pengine ndo swali ambalo mtu anaweza kujiuliza...

But mind you kuwa ,antiparticle do not exhibit physical laws ambazo zinahitaji primary source ya kuwa na tresor( source) ya kuendesha ...

Ni self generating particle with highest spinning quantum possibility ya kutoa unmeasurable energy ambayo inasababish expansion ya vacuum ambayo inagenerate physcal matter ambayo ndo inaunda physical universe...

The antimatter discovery will solve the paradoxy on how the initial universe started together with formulation of its universal laws that govern existance of matter within the spacetime continuum...

within the state where Antimatter regenerates,there are no laws that govern the spinning collisions between the antimatter thus why the process is self driving....

But keep waiting ,modern Quantum posibility ya Dark energy inaenda kutoa jibu sahihi la where we came from plus the fate of the universe...
 
Swali la kijinga kabisa Mimi nilizaliwa na walionizaa pia walizaliwa sio walitokea tu kama yesu alivyotokea kimazingaombwe
Jiulize chanzo chako wewe kwanza then ndo uje uulize chanzo cha Mungu.Jiulize kwanza wewe ulitokea wapi?.
 
Huyo Kiranga anasemaga kuwa hataki kuamini,hivyo nafikiri akija kuelezea msimamo wake atakuja na uthibitisho kabisa.
muite aje achague kundi ,moja hapo halafu twende sawa
 
Kama umeiangalia vizuri bila shaka umeona quote ya Einstain ,mtu na sayansi yake anaamini Mungu yupo.
 
Swali la kijinga kabisa Mimi nilizaliwa na walionizaa pia walizaliwa sio walitokea tu kama yesu alivyotokea kimazingaombwe
Jibu la kijnga kabisa,Ulizaliwa tu?.Am talking about the origin of our ancestor,We kwa akili yako unafikiri sijui kama tumezaliwa?.
 
Mungu alitokea wapi maana kila kitu complex kina creator wake
Jibu la kijnga kabisa,Ulizaliwa tu?.Am talking about the origin of our ancestor,We kwa akili yako unafikiri sijui kama tumezaliwa?.
 
Mimi ni BUDHAA. Sidanganyiki na hila zako.Nitaendelea kufanya ibada na kuamini uwepo wa MUNGU mpaka mwisho.
...kama itakupendeza tafuta muda utuwekee thread inayohusiana na Buddha hapa mkuu,..kwa maana imani yenu kwa ujumla vile utakavyoweza kuelezea.
....thanking you in advance.

Igwe
 
Kama wewe mwenyewe binadamu umetokana na majimaji badae ukatokea wewe ukiwa na mifupa na nyama huna sababu ya kujiuliza mara mbili kuwa mungu yupo au hayupo jibu mungu yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…