Mkuu mi sio mlokolee..alaf kama vilee haujaielewa comment yangu. Hilo nilotoa apo sio jibu but navyojua thread kama hizi nzuri wengi wanao ziharibu ni wachangiaji. So far mimi ni m islam. Na majibu yote ya existence of university nayapata mule. Si muda ntashuka na ushahidi sema wengi wawapingaji hawawayaamini...halafu walokole wanakurupuka kuja na majibu simple kabisa
..my bad,I draw it backMkuu mi sio mlokolee..alaf kama vilee haujaielewa comment yangu. Hilo nilotoa apo sio jibu but navyojua thread kama hizi nzuri wengi wanao ziharibu ni wachangiaji. So far mimi ni m islam. Na majibu yote ya existence of university nayapata mule. Si muda ntashuka na ushahidi sema wengi wawapingaji hawawayaamini.
Science without religion is lame,Religion Without Science is Blind. By Albert..my bad,I draw it back
..back to this comment of yours,_uje na majibu yenye logic sio hizo riwaya zilizokopiwa na kupestiwa kutoka kwenye biblia mnazoziita korani mkuu
....actually tujifunze kujibu hoja kwa mantiki ili angalau tueleweke kuliko kuleta ushahidi wa hizo hadithi za kale za waaarabu na wayahudi
...basi sawa mkuuScience without religion is lame,Religion Without Science is Blind. By Albert
Usinihukumu Mimi lakini mkuu. Tutafute maarifa lakini tuanzie pale walipoishiawenzetu....basi sawa mkuu
...am siding with you chiefUsinihukumu Mimi lakini mkuu. Tutafute maarifa lakini tuanzie pale walipoishiawenzetu.
Tuanzie hapa kwenye "logic"..my bad,I draw it back
..back to this comment of yours,_uje na majibu yenye logic sio hizo riwaya zilizokopiwa na kupestiwa kutoka kwenye biblia mnazoziita korani mkuu
....actually tujifunze kujibu hoja kwa mantiki ili angalau tueleweke kuliko kuleta ushahidi wa hizo hadithi za kale za waaarabu na wayahudi
...shida sana kwa kweli,( إِلَيْهِ مَرْجِعُكُمْ جَمِيعًا ۖ وَعْدَ اللَّهِ حَقًّا ۚ إِنَّهُ يَبْدَأُ الْخَلْقَ ثُمَّ يُعِيدُهُ لِيَجْزِيَ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ بِالْقِسْطِ ۚ وَالَّذِينَ كَفَرُوا لَهُمْ شَرَابٌ مِّنْ حَمِيمٍ وَعَذَابٌ أَلِيمٌ بِمَا كَانُوا يَكْفُرُونَ )
يونس (4) Yunus
Kwake Yeye tu ndio marejeo yenu nyote. Hii ni ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo ya kweli. Hakika Yeye ndiye aliye anzisha uumbaji, na kisha ataurejesha ili awalipe kwa uadilifu wale walio amini na wakatenda mema. Na walio kufuru, wao watapata vinywaji vinavyo chemka, na adhabu chungu kwa sababu ya walivyo kuwa wakikufuru.
( هُوَ الَّذِي جَعَلَ الشَّمْسَ ضِيَاءً وَالْقَمَرَ نُورًا وَقَدَّرَهُ مَنَازِلَ لِتَعْلَمُوا عَدَدَ السِّنِينَ وَالْحِسَابَ ۚ مَا خَلَقَ اللَّهُ ذَٰلِكَ إِلَّا بِالْحَقِّ ۚ يُفَصِّلُ الْآيَاتِ لِقَوْمٍ يَعْلَمُونَ )
يونس (5) Yunus
Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua.
( خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ بِالْحَقِّ ۖ يُكَوِّرُ اللَّيْلَ عَلَى النَّهَارِ وَيُكَوِّرُ النَّهَارَ عَلَى اللَّيْلِ ۖ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ ۖ كُلٌّ يَجْرِي لِأَجَلٍ مُّسَمًّى ۗ أَلَا هُوَ الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ )
الزمر (5) Az-Zumar
Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe!
( اللَّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۖ مَا لَكُم مِّن دُونِهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا شَفِيعٍ ۚ أَفَلَا تَتَذَكَّرُونَ )
السجدة (4) As-Sajda
Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na viliomo baina yao kwa siku sita, na akatawala kwenye Kiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye tu. Basi, je, hamkumbuki?
Hizo ni aya za mwingi Wa rehma mwenye kurehem. Kaaleza wazi kuwa ulimwengu huu mnauona yeye ndiyo muanzilishi.
Ukirejea kwenye mada baina ya makundi hayo yaliyotajwa na muandishi. Binafsi nipo kwenye kundi la tatu ila pale walipokosa jibu rejea "something outside" Mimi nimelipata jibu hilo kwenye Qur'an.
Hivyo basi muanzilishi na mlezi Wa ulimwengu wotee nii "Allah"
Shida iko wapi apoo mkuu....shida sana kwa kweli,
...ndio hivyo lakin,tulishaingizwa mkenge tangu tukiwa vitoto kujinasua ni ngumu mno
....
Mkuu sio kwamba umepitia ShortCut na Kuwafungia Wengine nje?( إِلَيْهِ مَرْجِعُكُمْ جَمِيعًا ۖ وَعْدَ اللَّهِ حَقًّا ۚ إِنَّهُ يَبْدَأُ الْخَلْقَ ثُمَّ يُعِيدُهُ لِيَجْزِيَ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ بِالْقِسْطِ ۚ وَالَّذِينَ كَفَرُوا لَهُمْ شَرَابٌ مِّنْ حَمِيمٍ وَعَذَابٌ أَلِيمٌ بِمَا كَانُوا يَكْفُرُونَ )
يونس (4) Yunus
Kwake Yeye tu ndio marejeo yenu nyote. Hii ni ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo ya kweli. Hakika Yeye ndiye aliye anzisha uumbaji, na kisha ataurejesha ili awalipe kwa uadilifu wale walio amini na wakatenda mema. Na walio kufuru, wao watapata vinywaji vinavyo chemka, na adhabu chungu kwa sababu ya walivyo kuwa wakikufuru.
( هُوَ الَّذِي جَعَلَ الشَّمْسَ ضِيَاءً وَالْقَمَرَ نُورًا وَقَدَّرَهُ مَنَازِلَ لِتَعْلَمُوا عَدَدَ السِّنِينَ وَالْحِسَابَ ۚ مَا خَلَقَ اللَّهُ ذَٰلِكَ إِلَّا بِالْحَقِّ ۚ يُفَصِّلُ الْآيَاتِ لِقَوْمٍ يَعْلَمُونَ )
يونس (5) Yunus
Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua.
( خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ بِالْحَقِّ ۖ يُكَوِّرُ اللَّيْلَ عَلَى النَّهَارِ وَيُكَوِّرُ النَّهَارَ عَلَى اللَّيْلِ ۖ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ ۖ كُلٌّ يَجْرِي لِأَجَلٍ مُّسَمًّى ۗ أَلَا هُوَ الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ )
الزمر (5) Az-Zumar
Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe!
( اللَّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۖ مَا لَكُم مِّن دُونِهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا شَفِيعٍ ۚ أَفَلَا تَتَذَكَّرُونَ )
السجدة (4) As-Sajda
Mwenyezi Mungu ndiye aliye umba mbingu na ardhi na viliomo baina yao kwa siku sita, na akatawala kwenye Kiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye tu. Basi, je, hamkumbuki?
Hizo ni aya za mwingi Wa rehma mwenye kurehem. Kaaleza wazi kuwa ulimwengu huu mnauona yeye ndiyo muanzilishi.
Ukirejea kwenye mada baina ya makundi hayo yaliyotajwa na muandishi. Binafsi nipo kwenye kundi la tatu ila pale walipokosa jibu rejea "something outside" Mimi nimelipata jibu hilo kwenye Qur'an.
Hivyo basi muanzilishi na mlezi Wa ulimwengu wotee nii "Allah"
Mkuu Kivipi ?Mkuu sio kwamba umepitia ShortCut na Kuwafungia Wengine nje?
...kwamba unaamini kila MTU anaiamini hiyo kuran na Allah wake...ni sawa na mimi nianze kutumia Things Fall Apart kujustfy hoja zangu...sijui kama watu watanielewaShida iko wapi apoo mkuu.
VIP MTU akitumia biblia kujusfy uongo wa Mohammed ama Allah utamuamini.?Mkuu Kivipi ?
Hapana mimi nimesema kwa mtazamo wangu tu. Wapo wengine watakuja kwa mitazamo yao na Mimi siwezi kuwaingilia sababu ni misimamo yao tayari....kwamba unaamini kila MTU anaiamini hiyo kuran na Allah wake...ni sawa na mimi nianze kutumia Things Fall Apart kujustfy hoja zangu...sijui kama watu watanielewa
Ngoja Wengine waje ambao wako nje na Imani hizi mbili (christian&islamic).Mkuu Kivipi ?
Kikubwa azingatie vitu vitatu ambapo kuna member mmoja ameeleza apo juu.VIP MTU akitumia biblia kujusfy uongo wa Mohammed ama Allah utamuamini.?
Sisi wengine tunaamini katika chanzo fulanj(Muumba)Mkuu Kivipi ?