Mjadala kuhusu chanzo cha ulimwengu na maisha

We unaongelea hadithi hizo ambazo umemezeshwa na huna hata chembe yaaani chembe ya hakika ya hayo matukio wala nukta ya ushahidi huna.
 
Narudia Tena! Quran imeandikwa na Mungu.
Leta ushahidi wa hard copy au soft copy wa hiyo Quran iliyoandikwa na Mungu.
Unajuwa maana ya neno "KUANDIKA" au unachangia mada kwa jazba zako za dini mkuu??
 
We unaongelea hadithi hizo ambazo umemezeshwa na huna hata chembe yaaani chembe ya hakika ya hayo matukio wala nukta ya ushahidi huna.
Kwani huyo jamaa yenu aliyewaletea mnachokiita : BIG BANG na ninyi mmekubali hivyo.Mlikuwepo wakati tukio hilo linatokea? Huyo jamaa yenu yeye alikuwepo?.
 
Kwani huyo jamaa yenu aliyewaletea mnachokiita : BIG BANG na ninyi mmekubali hivyo.Mlikuwepo wakati tukio hilo linatokea? Huyo jamaa yenu yeye alikuwepo?.
Sijaongelea BIG BANG mkuu soma vizuri, nimekwambia kwa hizo hadithi hakuna ushahidi au wewe unao ushahidi wa hizo hafithi?? Kama unao ulete hapa na si kutuambia vitu ulivyohadithiwa
 
We unaongelea hadithi hizo ambazo umemezeshwa na huna hata chembe yaaani chembe ya hakika ya hayo matukio wala nukta ya ushahidi huna.
Nenda Egypt ukakaulize je! Hapa kuliwahi kuwa na mtu anaitwa Farao na Je! Kifo chake kilikuwaje? Utapata majibu ambayo hayatatoka ktk Quran wala bibilia

Kimbe wapagani mpo wengi
Kweli Mungu hakosei na ndio maana akasema katika Quran
"Mimi ndio niliowaumbeni nyote kuna wengine wenu ni waislam na wengine ni makafiri"
 
Leta ushahidi wa hard copy au soft copy wa hiyo Quran iliyoandikwa na Mungu.
Unajuwa maana ya neno "KUANDIKA" au unachangia mada kwa jazba zako za dini mkuu??
Kilichoandikwa ndani ya moyo,huwa kina soft copy au hard copy?.
 
Hoja ya upagani imetoka wapi? Usiwe na maneno mengi mkuu mimi nakutaka ushahidi yaani wewe uthibitishe ulichokisema. Ukinambia ninde Egypt nikaulize kuhusu farao ina saidia nini na mimi kukwambia wewe huna ushahidi? So ukihoji kuhusu hizo hadithi zenu teyari ushakuwa mpagani ama kafiri? Dini ya wapi uliyosomea wewe mkuu??
 
Kilichoandikwa ndani ya moyo,huwa kina soft copy au hard copy?.
Unajichanganya wewe, vipi kiandikwe ndani ya moyo? Mungu aliandika Quran kwenye moyo wa nani? Najua ushahidi huna katika hili. Tutumie hiyo Quran nipe aya inayothibitisha hili kwamba mungu aliandika Quran katika moyo, moyo wa nani?
 
Sijaongelea BIG BANG mkuu soma vizuri, nimekwambia kwa hizo hadithi hakuna ushahidi au wewe unao ushahidi wa hizo hafithi?? Kama unao ulete hapa na si kutuambia vitu ulivyohadithiwa
Ulipoongelea matukio yaliyotokea wakati wewe haupo kwa dunia hii, sindiyo ukayaita hadithi?.Sasa kunatofauti gani kati ya tukio la big bang ambalo lilitokea wakati wewe haupo dunia lisiwe hadithi kwa maana mtazamo wako?.
 
Unajichanganya wewe, vipi kiandikwe ndani ya moyo? Mungu aliandika Quran kwenye moyo wa nani? Najua ushahidi huna katika hili. Tutumie hiyo Quran nipe aya inayothibitisha hili kwamba mungu aliandika Quran katika moyo, moyo wa nani?
QURAN! Yaani nitumie Quran kwa hoja zako dhaifu hizi!!?.
Mungu aliandika Quran kwenye moyo wa nani!!? Kwenye moyo wa mtume Muhammad,moyo wangu na mioyo ya waislamu waumini.
 
Hayo mambo ya kina Farao yameandikwa katika vitabu vya dini ukasema ni hadithi tu kwa maana huamini lakini haya ni mambo ambayo yamefanyika hapa duniani tena katika bara hili hili la Afrika
Ndio maana nimekuambia nenda Egypt utapata habari za Farao ukiuliza mitaani utazipata na pia ukienda katika makumbusho yao utapata habari nyingi tu za Farao
 
QURAN! Yaani nitumie Quran kwa hoja zako dhaifu hizi!!?.
Mungu aliandika Quran kwenye moyo wa nani!!? Kwenye moyo wa mtume Muhammad,moyo wangu na mioyo ya waislamu waumini.
Hoja dhaifu kwenye Quran?? We muislam wa wapi wewe? Nimekwambia nipe aya inayosema hivyo acha porojo mkuu, leta aya katika Quran mkuu na sio porojo zako hazina mantiki hapa.
 
na mimi ntaingia kwenye kundi la tatu lakini natafautiana na maana ya neno universe

Naomba kwa anaejua atufafanulie , Dunia , ulimwengu ni nini ? Kuna majina ambayo pengine hutumika kuonyesha Dunia wakati yamebeba maana Kubwa zaidi! (Univrse, Galax nk)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…