Kwa kuwa huna uwezo wa kufika huko pia huwezi kuthibitisha uwepo wake kama inavyo taka akili yako wakati hiyo akili yenyewe alikupa yeye
Na Mungu alisha thibitisha uwepo wake katika njia mbali mbali
Hata Firauni alipinga uwepo wa Mungu ile bahari ilipo achana Mussa na watu wake akapita na yeye alipotaka kupita maji yakaungana na akashindwa kuyazuia hapo ndipo akakubali kuwa Mungu yupo lakini ilikuwa to let
Kwa hiyo watu wa namna yako zamani Mungu alikuwa anawangamiza
Aliangamiza watu wa Nuhu
Aliangamiza watu wa Luti
Aliangamiza watu wa Sale he
Aliangamiza watu wa Adi
Aliangamiza watu wa Thamudi
Aliangamiza watu wa Madiana
Na hao watu wa Firauni
Sabu ni hiyo hiyo kama yako ya kupinga uwepo wake