National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Alafu anakaza takoo na fuvu la kupinga ndoaKama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.
Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
Mimi bado nitakuwa mtakatifu milele yoteUkikataa ndoa basi jua kuanzia leo wewe sio Binadamu Mtakatifu
Huyu yamemkuta Palina sio masihala.Pole sana ila nikushauri
Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.
Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.
Pole sana
Sijafata mkumbo ni maamuzi yangu baada ya kuchekecha katika akili yanguPole sana ila nikushauri
Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.
Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.
Pole sana
Hilo tu kwani umemuona mondi anaosha sufuriaKama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.
Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
Tupe sababuUhamisishaji wa jambo hilini haufai
😂😂😂😂Alafu anakaza takoo na fuvu la kupinga ndoa
Sasa hizo si ni kazi mkuu, nimepika mimi mwenyewe nikala mwenyewe nishindwe kuosha vyombo huo si undina.Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.
Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
Kataa ndoa haimaanishi kutokua na mwanamke na watoto...yaani hao wote unakua nao ila marufuku kusainishana makaratasiPole sana ila nikushauri
Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.
Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.
Pole sana
👏👏Kataa ndoa haimaanishi kutokua na mwanamke na watoto...yaani hao wote unakua nao ila marufuku kusainishana makaratasi
Uzi umeishia hapa [emoji119][emoji23]Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.
Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
No kuwaza mara mbilimbiliSasa tomber kula kona
Mkuu tafuta hela uone kama utababaika na ndoaAlafu anakaza takoo na fuvu la kupinga ndoa
Kwani wanawake ndo tunawang'aniza mkuuHili jambo linafikirisha sana yaani sometimes unaweza ukaikataa ndoa ukawa sawa lakini sometimes ukiwaza sana inaonekana kama hatuwatendei haki Wanawake
Naitwa Binadamu Mtakatifu Natokea mtaa wa saba toka nyumba hiyo Nimechoka kuwaza toto la mtu na kwa haya majanga yakina walio oa nibora kuweka self defense mapemaKaribu sana boss.
Tuambie unaitwa nani, unatokea wapi na yaliyokusibu mpaka ukaona ni heri kujiunga na chama letu la kibabe
😊 basi kama utakuwa mtakatifu milele tunakupokea kwenye kundi letu la KUBALI NDOAMimi bado nitakuwa mtakatifu milele yote
Pole kijana mungu ukutie nguvuYamenisibu mengi nikiendelea kuwa mbishi nitakufa wakati kuenjoy burebure
We oa tu, baadhi ya kikosi kazi chetu ni kuhakikisha wanachakata wake zenu wajinga wajinga😊 basi kama utakuwa mtakatifu milele tunakupokea kwenye kundi letu la KUBALI NDOA