Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
Sijafata mkumbo ni maamuzi yangu baada ya kuchekecha katika akili yangu
Kama hutaki ndoa Hakikisha unatengeneza pesa za kutosha uweke na mfanyakazi awe anakusaidia kwenye ishu ndogo ndogo.

Yaani unakuta kijana wa makamo miaka 30+ na upara kichwani anakomaa kusugua sufuria
Hilo tu kwani umemuona mondi anaosha sufuria
Uhamisishaji wa jambo hilini haufai
Tupe sababu
Alafu anakaza takoo na fuvu la kupinga ndoa
😂😂😂😂
 
Pole sana ila nikushauri

Kama umefata mkumbo wa humu nakupa pole.... Wenzio ni entertainer humu, wakilog off , wana go there and hug their wives and kids.

Usichukue kila kitu kwenye hii mitandao unless umeridhia.

Pole sana
Kataa ndoa haimaanishi kutokua na mwanamke na watoto...yaani hao wote unakua nao ila marufuku kusainishana makaratasi
 
Alafu anakaza takoo na fuvu la kupinga ndoa
Mkuu tafuta hela uone kama utababaika na ndoa

Unaajiri manzi wako watatu au wanne kwa ajili ya uchakataji mbususu tu

Hakuna kuishi nao nyumbani kwako
Unawapangia room za bei rahisi ukijisikia kuchakata unampigia simu mmoja

Unachakata unampa pesa ya kula maisha yanaendelea

N.B. Unampangia room kama unataka kuzaa nae lakini usithubutu kuishi nae nyumba moja wee ishi mwenyewe kisela weka housemaid

KATAA NDOA
 
Karibu sana boss.
Tuambie unaitwa nani, unatokea wapi na yaliyokusibu mpaka ukaona ni heri kujiunga na chama letu la kibabe
Naitwa Binadamu Mtakatifu Natokea mtaa wa saba toka nyumba hiyo Nimechoka kuwaza toto la mtu na kwa haya majanga yakina walio oa nibora kuweka self defense mapema

Pamoja mpaka uchaguzi mkuu wa chama letu
 
Back
Top Bottom