Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Kabisa mkuuNDOA YOYOTE AMBAYO MKE NA MUME WANAISHI NYUMBA MBALI MBALI SIO NDOA NZURI
HIYO NI NDOA HEWA
😅😅😅😅NDOA NI UTAPELI MAMBOLEO
OKOA KIBUNDA
KATAA NDOA
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe. Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo. Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha. Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii
Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.
Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa
Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.
Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.
Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Bitter truth! Wengi tunavumilia tu, maana sasa ukimtimua, maana yake, ama watoto wako alee mama mwingine, Only God knows watakachofanyiwa na huyo mama wa kambo,au aondoke na watoto njemba nyingine ikakulelee wana wako, na huko vile vile ni majanga,Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii
Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.
Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa
Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.
Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.
Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Kwa akili hii sidhani kama utaelewa chochote hata tukikushauri, waalimu watakao kufundisha vizuri uelewe mtu kama wewe ni wawili tu,Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii
Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.
Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa
Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.
Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.
Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati okoa kibunda au sioNDOA NI UTAPELI MAMBOLEO
OKOA KIBUNDA
KATAA NDOA
Ongeza bidii, utawaelewa zaidi ya hapo.Binafsi sijui na sijaona faida ya ndoa hadi leo hii
Napika mwenyewe, nafua mwenyewe, nachota maji mwenyewe.
Nikitaka mbususu nachukua tu demu wa kitaa napiga anasepa
Sasa najiuliza kuna faida gani ya kuoa kama ndoa zenyewe kila siku majanga, kero, usaliti na kuumizana mioyo.
Nina watoto na mke ila sioni faida ya yule mke zaidi ya kero tu. Na nashukuru sikai nae pamoja maana nyakati tunazokutana likizo ninachokipata toka kwake ni kero na karaha tu na si furaha.
Bora kuwekeza kwa watoto na si mke wa ndoa tena hawa wake wa siku hizi kero tupu.
Kuna Dingi langu moja lina Msemo unao Sema kupanga ni kuchagua😁😁😁Kupanga Ni kuchagua na kuchagua Ni kupanga.