Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

We yamekukuta shauri yako, sie wenzio tushatomba saana, tushafanya uhuni saana, mwishowe tumeona muhimu kuoa.

Jambo la msingi inapofikia hatua ya kuoa, oa mwanamke sababu anafaa kiwa mkeo, usioe kwa uzuri, usioe kwa akili za nyege, usioe sababu anakufinyia kwa ndani, oa mke, vijana tunakwama hapa kwenye kuoa, tunakimbilia pisi ili washikaji watusifu tuna wake wakali, ila ndani mateso, oa mwanamke ambae yeye bila ww hawezi, sio wewe bila yeye hawezi.

Lazima ujiulize why unaoa, kisha utapita njia sahihi. Ndoa ni jambo la mungu, yeye ndio katutaka tuoe, sasa tunafata amri ya muumba, tunaacha ushauri wake, tunafanya jambo la mola kihuni huni tu.

Tomba wee, ruka ruka wee, ila MKE ni jambo la muhimu, sio mwanamke, namkwambia MKE.

wanawake wapo wa aina hizo [emoji3577](sema mbili) [emoji23]
Kuna wanawake hao ni wa kutombwaa tu, huyu ukipata we toa nyege zako mbimbilise kadri unavyojiweza, ila usithubutu kuoa,
Kuna wakuolewa sasa, ukibahatika huyu, mzee oa fasta, acha akili za nyege jitulize.
Umeongea point za ukweli.

Ukiachana na kutoka kimaisha kuna kutoboa kimahusiano mpaka ndoa, vijana hawajui kuwa mke mwema ni intangible assets
 
Dada zako wakifanyiwa hivyo pia usitafute mchawi
Mimi nilisha kaa nao na kuzungumza. Ishu ya kuoa au kuolewa waitoe akilini wapambane na maisha. Ndo imekua chanzo cha ndugu kuchukiana. Chanzo cha vifo, chanzo cha magonjwa. Chanzo cha umaskini. Na zaidi ukioa mara nyingi unakua umemsaidia mwanamke kutimiza ndoto zake wakati wewe ndio umeanza kuyaharibu kabisa maisha yako.
Mtoa maada nakubaliana nae 100%
 
Wanaume wengi sana wanalalamika kuhusu mahusiano yao na Wanawake, ambao hawapo kwenye mahusiano wataogopa kuingia maana siyo kwa malalamiko haya, poleni sana Wanaume wote mnaokumbwa na changamoto za mapenzi.
 
Mdudu mapenzi kaingia tena kwenye kidonda cha mtoa mada [emoji119]
 
Niliwahi shitakiwa na mtalaka wangu kituo fulani cha polisi jijini Dar,nikaletewa barua ya wito.siku nakwenda kusikiliza nilichoitiwa nilipokelewa kwa maneno ya kejeli na askari wa kike waliokuwa pale kituoni.baada ya mahojiano na kuelezwa yale aliyokwenda kushtaki mtalaka,nikawajibu tu simple kuwa nina ushahidi wa kutosha juu ya vitengo alivyofanya hadi akaamua kuondoka mwenye nyumbani
1, kupewa ujauzito na Hawara yake kisha mm nilee mtoto nikijua ni wangu kumbe nimepachikwa.
2,kunitoa roho kwani kwake sikuwa na thamani tena hivyo alitaka kubadili mme.
3,kumuwekea mtoto wangu sumu ili afe kuondoa tofauti utakapojitokeza kati yake na mtoto wa mchepuko.
Baada ya kuweka ushahidi wa audio na kusikilizwa,wale ma wp waliondoka bila kuaga,aliyesalia(inspector) alinipa pole na kunisifu kwa uvumilivu nilionao na kumwambia mtalaka jamaa kwa ushahidi alionao akienda mahakamani hutoboi.sasa hivi hata kutongoza mwanamke naogopa.
Kwa kuonyesha makeke ulitakiwa ule sahani moja na mmoja wao..😂
 
Ila lakini vile mnatufanyaga sometimes! Mungu anawaona
kwani ni sisi tu basi? nyie pia mnatufanyaga mambo meusi sana ni vile tu ya upande wetu yamezidi kidogo.

ila hata Mungu alijua udhaifu wa mwanamke ndo maana mchawi wa kike anatakiwa afe lakini wa kiume awe kichaa japo wote ni wachawi.

Mungu aliona mwanamke anaweza mchawi anaweza maliza ukoo ila mchawi wa kiume ataona huruma kidogo,,,so akiwa kichaa baadae akipona ataacha.

hahahahha poleni tu muishi na sisi kwa akili kubwa
 
Wanawake wanaotuweza ninwanaume wenye akili tu wasio na akili watafute wanaume wenzao,,😅teh teh teh
Acha makasiriko unaandika kwa ukali nakuamuru utoke huku ukapumzike sawa
 
Mbona umeandika thread kibabe sana!

Bila shaka ushaangukiwa na kitu che uzito kukuzidi...
 
Back
Top Bottom